macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mbona hatuwaoni kwenye utendaji? Mimi haya mambo ya kupass shuleni eti kuwa na alama nzuri kwa Bongo Mhh..Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.
Nikwo kyoma,chonka abashwahili tibakwenda kubona omuntu nabakila amagezi hasa hatali wawabo.Kyoma akasigazi kaina amagezi
Kijiko cha moto kuliko sufuriaNilishasema huyu ni calculator inayotembea.
Kama unafikiri amekariri na wewe kariri.
Hadhina = hazinaHuyo jamaa ni hadhina.
Nikwo kyoma,chonka abashwahili tibakwenda kubona omuntu nabakila amagezi hasa hatali wawabo.
Tuliyo kyoma.Tokuzoka omu watataNaguma kyoma,agebiro bingi?
Baba abarogi,tibenda aebdeleo ga bantuAhaaa 😁😁😁 abaswahili baina olwango
Bagil'orwangoNikwo kyoma,chonka abashwahili tibakwenda kubona omuntu nabakila amagezi hasa hatali wawabo.
Eratiba zigumireTuliyo kyoma.Tokuzoka omu watata
Sio kawaida. Acha kujipaisha.Hiyo kawaida kwa sisi Mathematician, ila nyie wazee wa ngeli na vishazi vikurupushi lazima mtoke patupu.
Hatufanani, Mungu katuumba na kututunuku tunu tofauti, hata wewe kuna unavyoweza wengine hatuwezi, mimi kwenye ulimwengu wa hisabati niko vema kidogo na wewe kuna angle yako ambayo uko njema pia.Sio kawaida. Acha kujipaisha.
Pamoja ndugusawa mkuu ni mkerewe.
Kwenye utendaji ni jambo lingine ndugu.Mbona hatuwaoni kwenye utendaji? Mimi haya mambo ya kupass shuleni eti kuwa na alama nzuri kwa Bongo Mhh..
Kama umefikia hatua ya kusema kuwa JPM alikuwa na uwezo basi hata hao uliosema wako vizuri kichwani ni watu wa hovyo kabisa. I mean uko serious kusema kuwa Magufuli alikuwa na uwezo wa kuongoza au upeo wa kuona mambo? Huu ni utani mbaya sana. Nyie ndiyo watu mnaosifia watu kama kina Makonda bila shaka.Kwenye utendaji ni jambo lingine ndugu.
Kwenye utendaji huko wanapewa nafasi watu wanaoongea sana bila vitendo na pia wenye connection ndio wanapewa kipaumbele na sio uwezo wa kichwani.
Ila mfano mmoja wa dhahiri ambao naweza kukupa ni wa kipenzi cha watu Hayati JPM uwezo wake umeuonaje kwenye utendaji wake?sasa yule ndio aliingia kihalali kwa uwezo wake bila connection Mungu alimbariki kuingia na uwezo wake ukaonekana dunia nzima.
Sasa hapo ndio upate picha kwamba wapo watu wenye uwezo kama wa JPM lakini hawapati hiyo nafasi ya kuingia kwenye mfumo na gawajulikani kabisa.
Kabla hujaponda au kuonyesha chuki kwa mtu hebu tuoneshe uwezo wako wewe binafsi ili tulinganishe na hao uliowaponda.Kama umefikia hatua ya kusema kuwa JPM alikuwa na uwezo basi hata hao uliosema wako vizuri kichwani ni watu wa hovyo kabisa. I mean uko serious kusema kuwa Magufuli alikuwa na uwezo wa kuongoza au upeo wa kuona mambo? Huu ni utani mbaya sana. Nyie ndiyo watu mnaosifia watu kama kina Makonda bila shaka.
Mimi nimewahi kuwa rais wa nchi au kiongozi? Na nikikuambia kuwa nafanya kazi IT consultant kwenye mambo ya security in cyber crime na nimeshawezesha wahalifu wengi kushikwa na fedha walizoiba kurudishwa, una ushahidi wa kusema kuwa nasema uongo? Jaribu kuwa more reasonable!Kabla hujaponda au kuonyesha chuki kwa mtu hebu tuoneshe uwezo wako wewe binafsi ili tulinganishe na hao uliowaponda.
Umefanya kitu gani cha maana na kikakubalika na wengi hata kwenye ngazi ya kata yenu?
Mimi nimewahi kuwa rais wa nchi au kiongozi? Na nikikuambia kuwa nafanya kazi IT consultant kwenye mambo ya security in cyber crime na nimeshawezesha wahalifu wengi kushikwa na fedha walizoiba kurudishwa, una ushahidi wa kusema kuwa nasema uongo? Jaribu kuwa more reasonable!