Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Kama ingekua ni kweli basi wapemba wote wangekua maprofesa,wala tusingekua na wimbi la watengeza kacholi.
 
Kama ingekua ni kweli basi wapemba wote wangekua maprofesa,wala tusingekua na wimbi la watengeza kacholi.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒLakini hata hao wa kanda ya ziwa kuna wavuvi na wauza samaki pia haiwezekani mkoa mzima watu wote wawe matajiri ni ngumu na kumbuka pia kuna wapemba wanamiliki biashara kubwa na kumiliki magorofa kariakoo.
 
Kabla ya kuchekesha ana maisha ambayo wewe huyajui........watu vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…