Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Wee wizo una nn lakiniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nahudumia ndoa yangu jamani, niko bize mnoo muda wote namlambalamba baba tamu na kumbebisha awwwwhhhh[emoji3059][emoji3059] [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mxiewwww!! Wizo nimecheka kwa sauti ya dharau huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu na baba tamu zenu!! Kupatwa kwa wizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee pekee ako ndo huna uduguuu.
 
Jamaniii hii ni kweli au ndo mnataka na kupunguza unyanyapaa kwa watu wenye HIV?

Yanawezekana kweli hayaa??
 

I second you aseee
Kwa vurugu nazofanya kuanzia September hadi December haupo kwenye ngono. Naomba kuishia hapa
 
  • Jichanganye! Uje kusimulia Moto.
  • Kuna binti jirani alizaliwa nao, anautetemesha mtaa. Ana kama 20's hivi; watu kibao wameunguzwa nae.
 
Jamaniii hii ni kweli au ndo mnataka na kupunguza unyanyapaa kwa watu wenye HIV?

Yanawezekana kweli hayaa??
Coca!
Ni kweli na nimeyashuhudia kwa macho na kuyaishi kuyaona..
Mimi sio wa kuyasoma nimehudumia wagonjwa wenye hizo hali kwa muda mrefu na nakuhakikishia Ni kwwli kwa 100%
 
Coca!
Ni kweli na nimeyashuhudia kwa macho na kuyaishi kuyaona..
Mimi sio wa kuyasoma nimehudumia wagonjwa wenye hizo hali kwa muda mrefu na nakuhakikishia Ni kwwli kwa 100%
Hivi dokta nafsi yako haikusuti unapowapa watu yale madonge ya ARV wakayabugie?

Kuna watu mna mioyo migumu sana. Mimi ningeacha udokta nikalime, maana ningekuwa naota ndoto mbaya za kukimbizwa na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…