Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Ukimwi ungekuwa unaenezwa kwa ngono, nusu ya watanzania wote wangekuwa na miwaya.

You must realize, this is a well crafted propaganda to entrap the gullibe into an ARV medical net.

Plus, watu waone kwamba mbona nilifanya na muathirika wa UKIMWI sijaambukizwa sababu ya ARV.

Hii inathibitisha kwamba (to the advantage of pharmaceuticals):

1. UKIMWI NA VVU ni gonjwa la zinaa.

2. UKIMWI unaponywa na ARV.

3. Wenye UKIMWI wabugie ARV.
Wee wizo una nn lakiniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nahudumia ndoa yangu jamani, niko bize mnoo muda wote namlambalamba baba tamu na kumbebisha awwwwhhhh[emoji3059][emoji3059] [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mxiewwww!! Wizo nimecheka kwa sauti ya dharau huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu na baba tamu zenu!! Kupatwa kwa wizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee pekee ako ndo huna uduguuu.
 
HUjaelewa upande upi cocastic?
Kiukweli Wengi huwa wnahisi Ni kama utani au Tunavutia watu..

Ila kiukwel mimi nimefanya kazi CTC kwa muda Mrefu sana couple nyingi sana tumeziona zikiwa hivyo na ziliishi kwa muda mrefu hivyo..

Pia wengi tu Huwa wanaendelea kuishi hivyo na tunawapima mara kwa mara kwa Index Testing..
Na hata Study za Index Testing Tanzania pia zipo unaweza ukazitafuta utakuta watu wenye wenza wenye maambukizi wapo wengi tu ila wenyewe hawana maambukizi
Jamaniii hii ni kweli au ndo mnataka na kupunguza unyanyapaa kwa watu wenye HIV?

Yanawezekana kweli hayaa??
 
Ukimwi ungekuwa unaenezwa kwa ngono, nusu ya watanzania wote wangekuwa na miwaya.

You must realize, this is a well crafted propaganda to entrap the gullibe into an ARV medical net.

Plus, watu waone kwamba mbona nilifanya na muathirika wa UKIMWI sijaambukizwa sababu ya ARV.

Hii inathibitisha kwamba (to the advantage of pharmaceuticals):

1. UKIMWI NA VVU ni gonjwa la zinaa.

2. UKIMWI unaponywa na ARV.

3. Wenye UKIMWI wabugie ARV.

I second you aseee
Kwa vurugu nazofanya kuanzia September hadi December haupo kwenye ngono. Naomba kuishia hapa
 
  • Jichanganye! Uje kusimulia Moto.
  • Kuna binti jirani alizaliwa nao, anautetemesha mtaa. Ana kama 20's hivi; watu kibao wameunguzwa nae.
 
Jamaniii hii ni kweli au ndo mnataka na kupunguza unyanyapaa kwa watu wenye HIV?

Yanawezekana kweli hayaa??
Coca!
Ni kweli na nimeyashuhudia kwa macho na kuyaishi kuyaona..
Mimi sio wa kuyasoma nimehudumia wagonjwa wenye hizo hali kwa muda mrefu na nakuhakikishia Ni kwwli kwa 100%
 
Coca!
Ni kweli na nimeyashuhudia kwa macho na kuyaishi kuyaona..
Mimi sio wa kuyasoma nimehudumia wagonjwa wenye hizo hali kwa muda mrefu na nakuhakikishia Ni kwwli kwa 100%
Hivi dokta nafsi yako haikusuti unapowapa watu yale madonge ya ARV wakayabugie?

Kuna watu mna mioyo migumu sana. Mimi ningeacha udokta nikalime, maana ningekuwa naota ndoto mbaya za kukimbizwa na watu.
 
Back
Top Bottom