Niteseke maisha yenyewe mafupi haya ππππIβm telling you Lee, mambo hayo wanayaweza wenzetu wazungu, (loving unconditionally) kibongo bongo pesa/mali inaplay part kubwa sana kwenye mapenzi, hasa kwenye dunia ya leo.
Nakupa mfano mmoja relevant kabisa.
Kuna mwanaume X anakupenda kwa dhati ila ni fukara, ungaunga, kwangu pakavu kabisa, na anapambana kujitafuta.
Then at the same time kuna mwanaume Y, heβs super fine anakupenda kwa dhati sana na alishajipata kitambo sana kimaisha, ana kugharamia na kukuspoil on different good ways.
Ebu tuambie which way will you go, just be honest π .
See! I told ya, being an average joe in relationships kwa dunia yetu ya leo ambayo Girls are exposed kwenye lavish lifestyle ni ngumu. As you said hakuna anaependa maisha magumu na shida hazizoeleki π .Niteseke maisha yenyewe mafupi haya ππππ
Kwakweli umemaliza kila kitu π€See! I told ya, being an average joe in relationships kwa dunia yetu ya leo ambayo Girls are exposed kwenye lavish lifestyle ni ngumu. As you said hakuna anaependa maisha magumu na shida hazizoeleki π .
The bottom line, no matter una mapenzi ya dhati kiasi gani, tafuta hela, mapenzi bila pesa ni magumu nyie ππ tutakuonea huruma tu.
Tuishi humo.Kwakweli umemaliza kila kitu π€
Hapo issue sio ufukara wake, je ana vision gani ili kutoka kwenye huo ufukara?? Habari ya kuanza kumvumilia mtu aliyeridhika na ufukara wake hapana kwa kweli!!!!
Unaweza usiridhike ila ukafa fukara , mapenzi ni kamari tu.Hapo issue sio ufukara wake, je ana vision gani ili kutoka kwenye huo ufukara?? Habari ya kuanza kumvumilia mtu aliyeridhika na ufukara wake hapana kwa kweli!!!!
Hayatabiliki..Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa Mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure.
Lakini mbona ndoa za uswahili asilimia kubwa zinadumu ukilinganisha na zile za ushuwani? yaani unakuta mtu anaishi na mke wake wamepanga chumba kimoja na wanaishi maisha ya kuungaunga Lakini wanadumu wanazaa watoto wanafanikiwa kujijenga na kuwa na makazi yao.
Lakini mbona mwanamke huyohuyo unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kumpa penzi fukara?
Upendo una sababu.. inaweza kuwa utajiri, umaarufu au mvuto.Mkuu vijana wa sasa wamekosa kitu kinaitwa MASCULINITY.
Wazee wa zamani walikuwa Masculine, ndio maana walikuwa hawana hela na bado waliweza kuwatuliza wake zao.
Mwanamke anapenda Mwanaume yeyote, uwe Fukara au Tajiri.
UWONGO.tunaweza kumpenda yeyote yule ,chamsingi amani ya moyo na utulivu
Jamani πππππ,, inawezekana my friend trust me π€UWONGO.
UWONGO. maisha yetu yanaongozwa na external forces kuanzia mitazamo ya wazazi, ndugu, jamaa na wazazi mfano ukiwa na demu mbaya utafanya kila liwezekanalo watu wasimjue kwa hofu ya kuchekwa.Jamani [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji119],, inawezekana my friend trust me [emoji855]
Aisee ππ, basi sawa ππUWONGO. maisha yetu yanaongozwa na external forces kuanzia mitazamo ya wazazi, ndugu, jamaa na wazazi mfano ukiwa na demu mbaya utafanya kila liwezekanalo watu wasimjue kwa hofu ya kuchekwa.
Let's back kwa nyinyi dada zetu mliokulia Mjini mshatengeneza mtazamo mwanaume anatakiwa kuwa na pesa tena kwa bahati nzuri uwe umejaliwa uzuri ndio utaona Mwanaume masikini kama trash yaani takataka.
Bila pesa watoto wazuri utaishia kuwaita mashemeji na mimi siku nikizipata nitatembeza bakora aisee wanawake wamenidharau sanaAisee [emoji2][emoji2], basi sawa [emoji18][emoji119]
Jamaniππ,, usikamie sana hivyo usije unapata pesa nguvu za kiume zimeisha sijui utafanyajeπ( am kidding ππ)Bila pesa watoto wazuri utaishia kuwaita mashemeji na mimi siku nikizipata nitatembeza bakora aisee wanawake wamenidharau sana
Si mkataba ushasainiwa tayari au hujui bandari si yetu?naomba majibu wakuu