I’m telling you Lee, mambo hayo wanayaweza wenzetu wazungu, (loving unconditionally) kibongo bongo pesa/mali inaplay part kubwa sana kwenye mapenzi, hasa kwenye dunia ya leo.
Nakupa mfano mmoja relevant kabisa.
Kuna mwanaume X anakupenda kwa dhati ila ni fukara, ungaunga, kwangu pakavu kabisa, na anapambana kujitafuta.
Then at the same time kuna mwanaume Y, he’s super fine anakupenda kwa dhati sana na alishajipata kitambo sana kimaisha, ana kugharamia na kukuspoil on different good ways.
Ebu tuambie which way will you go, just be honest 😅.