Kaunara
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 249
- 452
Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa wanaenda kuchukua vituoni kwa pesa mingi sana wakiagizwa na wataalamu wa jadi. Natamani kujua kuhusu hili kama ni kweli au uzushi wa kitaa?
Na inakuwa mtu anahitaji sana nini hadi aagizwe kamba kama hii? Wataalamu tupeni shule.