Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

Aisee hatari!
hata mtu aliejinyonga huwa anazikwa kimila ili kuondoa mikosi kwenye ukoo na uzikwa na zana zake.

Nilishawahi kushuhudia kwa macho yangu.
 
Mambo ya kishirikina yanashangaza Sana.
Kuna watu wanawafuata wahudumu wa gesti wawauzie kondium zilizotumika.
Nikagundua kumbe ndio maana Wana insist ukishatumia kondium uiweke kwenye kile kindoo unachokuta.
 
duh hatari.
 
Back
Top Bottom