Kamba ya mtu aliejinyonga laki 3, mchanga wa sehemu iliyotekea ajali na una damu kijiko laki, nguo ya mfungwa kipande hakizidi inch 5 laki, mchanga wa mikutano mikubwa kama ile ya ccm, kina mwamposa kijiko 10000 , maji ya maiti nusu lita 10000, sanda ya marehemu ambae tayari alishazikwa kipande laki 300000, ngozi mifupa ya marehemu kipande laki 300000....... Omba sana upate mwanamke asietumia hivyo vitu. Sorry nimepost na Kilimanjaro kichwani. Wadogo zangu wa kiume nawaombea sana bwana pepsi msikutane nae