Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoa utajir wa giza? Jamaa ni mganga wa jadi tu. Nina tabia ya kumuuliza sana maswali. Alinieleza hiyo issue nilishangaa sana. Ila anakuambia kuipata ni issue sana. Na kumshusha aliyejinyonga bila ya polisi ni kosa. Labda uchonge na polisi.
Janja ya policcm na waganga fekiMkuu ni kweli kabisa hiyo Kamba ni dili nakumbuka kile kipindi cha sakata la Escrow nilienda kumsalimia Mama Mkubwa maeneo ya Mbezi Malamba nikamkuta Jamaa ni mtaalam wa Jadi akawa anaongea kuhusu kupata hiyo kamba na panga liloua na akawa anawasiliana na Mkubwa ambaye ndiye alikuwa anataka kufanyiwa kazi. Na yeye nikawa namsikia kwenye simu anamwambia huyo mkubwa kuipata hiyo kamba au panga kwa urahisi ni vituo vya polisi. Nadhani huwa inakuwa na namna.
Itafute ukiipata ni PM MkuuHiyo ni deal sana mkuu , Tushtuane ikitokea , Naitafuta
Haina maneno kakaItafute ukiipata ni PM Mkuu
elezea vizuri nina biashara inachechemea nataka nitengeneze dawaaInasemwa pia hutumika kwa wa mama wauza pombe/grosary/pub/hotel kuwafanya wateja walio lishwa viambata kutokuhama na kua walevi wa kudumu kwama walio lishwa limbwata.
Basi sawa acha nikuache na ushirikina wakoSasa si utulie unahangaika nini kwenye nyuzi za kishirikina kama sio mshirikina.
Cc. Mshana Jrelezea vizuri nina biashara inachechemea nataka nitengeneze dawaa
Sasa Kama upumbavu unaufwatilia wanini? Si uachane nao Basi?Umeandika upumbavu
Sio Shimoni hata kwenye tundu la choo huwa inapinda kuelekea juuNina mshkaji wangu mganga wa jadi. Alinieleza kuhusu hiyo kitu. Pia wanasema ukiishusha shimoni inapanda yenyewe.
Shida ya watanzania wanatafuta sababu ya matatizo yao. Hata wewe unadhani umaskini wako ni sababu ya ccm. Kwaiyo unaamini ukiongea na mtoto wako habari za maisha ndo umemfundisha akafanye.Nyinyi ndio mna sababisha mauaji Kwa upuuzi WA kuamini mambo ya kijinga.
Nenda kwenye point.Shida ya watanzania wanatafuta sababu ya matatizo yao. Hata wewe unadhani umaskini wako ni sababu ya ccm. Kwaiyo unaamini ukiongea na mtoto wako habari za maisha ndo umemfundisha akafanye.