Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una makasiriko ya Ki Phaller sana We Jamaa halafu ni mara nyingi tu. Nakuona kwenye posts zangu. Mwanaume kuwa na makasiriko huo ni utoto. Kama hujui jambo tafuta njia ya kutaka kuelekezwa. Vipi kuna sehemu ipo Kamba ya mtu aliyejinyonga tupate hela ???Umerogwanini humu kila unayemuona unamuona km mtoto mwenzio wa 2000 na 8 si ndio?
Upo sahihi MkuuNina mshkaji wangu mganga wa jadi. Alinieleza kuhusu hiyo kitu. Pia wanasema ukiishusha shimoni inapanda yenyewe.
Anatoa utajir wa giza?Nina mshkaji wangu mganga wa jadi. Alinieleza kuhusu hiyo kitu. Pia wanasema ukiishusha shimoni inapanda yenyewe.
Hiyo kamba ikisagwa vizuri Kisha ikachanganywa na dawa flani ya limbwata mwanamke akikutengenezea hiyo makitu siku akikukataa unajinyonga fasta!Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa wanaenda kuchukua vituoni kwa pesa mingi sana wakiagizwa na wataalamu wa jadi. Natamani kujua kuhusu hili kama ni kweli au uzushi wa kitaa?
Na inakuwa mtu anahitaji sana nini hadi aagizwe kamba kama hii? Wataalamu tupeni shule.
Vinasaidiaje mkuu?Yani wanauza gharama wangeshusha bei. Mtu anakukatia kipande kidogo cha Cm 2-3 anakwambia @50,000/=. Kwenye masuala ya uvuvi vinasaidia sana
Ukiwa kwenye shughuli za uvuvi hususani dagaa unakishika kipande cha kwamba huku unanuia unachotaka.Vinasaidiaje mkuu?
Usifikirie kilamtu anakaa kwenye makochi ya shemeji yako wengine humuwanaweza kuhudumia wewe na ukoowako mzima uwena nidhamu bwamdogoUna makasiriko ya Ki Phaller sana We Jamaa halafu ni mara nyingi tu. Nakuona kwenye posts zangu. Mwanaume kuwa na makasiriko huo ni utoto. Kama hujui jambo tafuta njia ya kutaka kuelekezwa. Vipi kuna sehemu ipo Kamba ya mtu aliyejinyonga tupate hela ???
Ok, na kweli unavua samaki wengi hata wakiwa siku hiyo hawapo? yaani wenzako wote wamekosa wasio na kikamba ila wewe unapata samaki?Ukiwa kwenye shughuli za uvuvi hususani dagaa unakishika kipande cha kwamba huku unanuia unachotaka.
Inasemwa pia hutumika kwa wa mama wauza pombe/grosary/pub/hotel kuwafanya wateja walio lishwa viambata kutokuhama na kua walevi wa kudumu kwama walio lishwa limbwata.Kama ilivyo maji yaliyooshea maiti,limbwata lake huchomoki,unakuwa bwege kama maiti,nusu lita inauzwa 100000
Ok, na kweli unavua samaki wengi hata wakiwa siku hiyo hawapo? wenzako wote wamekosa wasio na kikamba?
Hayo ni mepesi kupatikana,,,hizo alizotaja mwamba ni ngumu kupatikanaHata maji ya kuoshea maiti nayo ni dili.
Unaitaka?Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa wanaenda kuchukua vituoni kwa pesa mingi sana wakiagizwa na wataalamu wa jadi. Natamani kujua kuhusu hili kama ni kweli au uzushi wa kitaa?
Na inakuwa mtu anahitaji sana nini hadi aagizwe kamba kama hii? Wataalamu tupeni shule.