HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Weka na picha hata moja basiKatika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa wanaenda kuchukua vituoni kwa pesa mingi sana wakiagizwa na wataalamu wa jadi. Natamani kujua kuhusu hili kama ni kweli au uzushi wa kitaa?
Na inakuwa mtu anahitaji sana nini hadi aagizwe kamba kama hii? Wataalamu tupeni shule.
Aende kituo cha polisi akaulizie?Watanzania sijui tukoje ase.
Sikia mkuu,baada ya kuskia hyo mada ulipaswa kwenda kituo cha polisi kilichopobkaribu na wewe ili ujiridhishe kwa kuwauliza na hatimae uje hapa na full detailed informations
Kungekuwa na kitufe cha kuondoa nyuzi ambazo huzitakiUpumbavu mwingine huu siku hizi news zote za kipumbavu nitakua nazipita km sizioni
Yaan ningefutafuta kabisaKungekuwa na kitufe cha kuondoa nyuzi ambazo huzitaki
Naona ningesoma nyuzi 10 tu kwa wiki 😄
Ukiipita unakutana nayo tena yaani kama unaifuta kabisa ingekuwa poaMbona sisi tunazipita bila kufungua? Wewe umeshindwa nini?
Sasa unaingia Tanzania, karibu sana na ujisikie upo nyumbaniKatika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa wanaenda kuchukua vituoni kwa pesa mingi sana wakiagizwa na wataalamu wa jadi. Natamani kujua kuhusu hili kama ni kweli au uzushi wa kitaa?
Na inakuwa mtu anahitaji sana nini hadi aagizwe kamba kama hii? Wataalamu tupeni shule.
Mimi sio mnunuaji wa mchanga, ila sina na wala siwazi upumbavu na ushirikina kama weweHaya mfuasi wa mwamposa
Ngoja watoke Dar kwenye maandamano niwaulize vizuriHao polisi walisemaje ulipowauliza