Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

Janja ya policcm na waganga feki
 
Nyinyi ndio mna sababisha mauaji Kwa upuuzi WA kuamini mambo ya kijinga.
Shida ya watanzania wanatafuta sababu ya matatizo yao. Hata wewe unadhani umaskini wako ni sababu ya ccm. Kwaiyo unaamini ukiongea na mtoto wako habari za maisha ndo umemfundisha akafanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…