Semeni tu ukweli utawaweka huru!!Tuseme au tunyamaze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semeni tu ukweli utawaweka huru!!Tuseme au tunyamaze?
Mzalendo wa Mzilankende yule marehemu wenu au ?Mimi ni mzalendo wa Tanaganyika ninaejitambua.
Sahihi, alichepuka kidogoAlienda kutoa papuchi kwa hubby wake maana yuko huko, kibiashara.
Aupe Uma. Ama unatakaje?Ampe nani taarifa na ili iweje
Miradi yote ya hayati JPM inakwenda kumalizika na hilo ndilo la maana, awamu ya waislamu hii na wana hulka zao za miaka na miaka hatuwezi kuzibadilisha, tuwe wapole tu.Time will tell!! Upigaji Awamu hii umekithiri pengine kwasasabu hana washauri wazuri!! Anategemea sana wanawake wenzi e na hao anawaita vijana ambao kwa kweli hawamsaidii huku anaacha hazina ya watu wenye experience!! Awatumie wazee awa kama washauri hawana haja ya kuteuliwa. Mkuchika sasa afya imezorota kuna wzee wenye afya bora kuliko huyo bwana!
Rais hapangiwi ratiba ya kazi. Alituambia maneno hayo hayati JPM,Mbona karudi zamani toka Dubai! Samia mbona anapata kigugumizi kuzirudisha hizo fedha alizotuambia zimefichwa China ili hali wakina Kabudi na former DPP wapo?
Hakuna rais wa afrika anayeweza kuukwapa ufisadi kwa asilimia mia moja. Sio kazi rahisi kama tunavyodanganyana humu jukwaani.Kweli Mustapha Nyanga'nyi na Marehemu Col.Kashmiri walipiga hela kwenye kile kivuko chakavu cha UNIFLOT enzi ya Mwalimu lakini hata hivyo upigaji ule huwezi linganisha na upigaji wa hawa vijana wa leo! Umeona tender ya SGR walivyoinflate licha ya malipo ya bwawa la Nyerere? .Ni kufuru kabisa shauri ya mama kushindwa kusimamia vilivyo matumizi ya Serikali yake. Hii mambo ya kusema kuwa anashambuliwa kwa sababu ni mwanamke haina tija.
Akikupa taarifa inasaidia au kupunguza niniAupe Uma. Ama unatakaje?
Nitajua matumizi ya Kodi zangu yanavyoenda.Akikupa taarifa inasaidia au kupunguza nini
Miradi yote ya hayati JPM inakwenda kumalizika na hilo ndilo la maana, awamu ya waislamu hii na wana hulka zao za miaka na miaka hatuwezi kuzibadilisha, tuwe wapole tu.
Tena Kwa ndege inayolitia taifa hasara kubwa kimatumizi.Mda wa kula Bata.
Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.
Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Mafisadi wapo siku zote wamekuwepo awamu zote sita. Na miradi inamalizika moja baada ya mwingine.Sidhani kama huyu mama atamaliza SGR na lile BWAWA kwani hivi sasa IMF na world Bank wamekwisha muwashia taa nyekundu kuhusu kushindwa kulipa madeni!! Ndio maana Mkwere anawaomba wananchi wamswalie!!
Samia ajue kwamba atahangaika kukopa nje na kuleta hao wawekezaji lakini mwisho wa siku ajue bila kudhibiti hawa mafisadi anaowafuga itakuwa sawa na kutaka kujaza Maji kwenye pipa lililotoboka ; Maji hayawezi kujaa kamwe!
Mafisadi wapo siku zote wamekuwepo awamu zote sita. Na miradi inamalizika moja baada ya mwingine.
JPM na ukali wake wote watu walikuwa wanapiga kila kona akawa anaishia kusema ukigeuka huko watu wanapiga ukigeuka kule wanapiga. Wezi wapo kila sekta na kazi zinafanyika.
Sio kweli kwamba JK anaposema tumuombee SSH basi anamaanisha juu ya pesa za wazungu kupigwa.
Wanapiga pesa huko huko USA na maisha yanaendelea.
Mapipa yenye matobo yapo dunia nzima na maisha yanakwenda kama kawaida.Kwahiyo wewe Phillipo ni muumini wa wale wanaosema unaweza kujaza maji kwenye pipa lenye matobo? Tafadhalini msimdanganye huyu mama!
Matobo kwenye mapipa yanapishana kiasi kwamba nchi masikini kama Tanzania ina matobo makubwa sana compared to a country like FINLAND! Hivyo do not justify ufisadi uliokithiri bongo kwa kusema eti ufisadi umetapakaa Dunia nzima!!Mapipa yenye matobo yapo dunia nzima na maisha yanakwenda kama kawaida.
JPM alifanya maamuzi ambayo alipenda yaonekane ni magumu kwa kila mtu lakini madhara yake ni maumivu makubwa kwa taasisi nyingi na nyingine zikafa kabisa. Huwezi kuongoza nchi ukiwa na ajenda ya siri ya visasi na kukomoa baadhi ya matajiri.
Hawawezi kuishi kama mashetani bila ya mamilioni ya watu wanaowategemea kufikia hatua za kufa kabisa. SSH amekuwa mjanja na mnyenyekevu anayejua kuishi na watu haswa hawa wenye pesa zao.
Magufuli mwenyewe alikuwa akiwaambia wananchi wamuombee.Mafisadi wapo siku zote wamekuwepo awamu zote sita. Na miradi inamalizika moja baada ya mwingine.
JPM na ukali wake wote watu walikuwa wanapiga kila kona akawa anaishia kusema ukigeuka huko watu wanapiga ukigeuka kule wanapiga. Wezi wapo kila sekta na kazi zinafanyika.
Sio kweli kwamba JK anaposema tumuombee SSH basi anamaanisha juu ya pesa za wazungu kupigwa.
Wanapiga pesa huko huko USA na maisha yanaendelea.