Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Nchi yote hii kakosa pa kupumzikia hadi achome kodi zetu kwenda mbali huko?Rais hana haki ya kupumzika?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi yote hii kakosa pa kupumzikia hadi achome kodi zetu kwenda mbali huko?Rais hana haki ya kupumzika?.
Wewe umewafanyia kazi gani watanzania kiasi cha kumkosoa Rais?. Punguza nongwa na ujuaji.Alienda kupumzika dubai kwa kazi gani ya maana aliyowafanyia watanzania.
Usipofanya kazi ukaingiza pato halali kila rais akiwa ikulu utaishia kumuona kama vile ni mwizi au dalali wa wezi. Siku za kuishi zinapita na umaskini unaokuhusu unabakia pale pale.Kama ndege ya Elon Mask inakuwa tracked itakuwa ndege ya Chief Hangaya? Hizo safari za sirisiri si ajabu zinakwenda kuficha dhahabu kwa wajomba kwani mara nyingi hii ndege imekuwa tracked ikienda Oman!!!!
Inakuwa tracked pia, ndo maana Putin hupendelea train na submarineshivi ndege ya raisi inakuwa tracked kirahisi hivi ?
vipi Air force one?
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.
View attachment 2585662View attachment 2585663
Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Sio kweli , when you call out these thieves you are doing your national duty!! Niambie Rais gani baada ya "MUSSA" alitawala nchi hii hakuna mwizi? Wengine wamediriki kununua nyumba hadi New York!! Mimi kwa standards za bongo Sio maskini hata kidogo hivyo kuwasema hawa wezi is a patriotic duty.Usipofanya kazi ukaingiza pato halali kila rais akiwa ikulu utaishia kumuona kama vile ni mwizi au dalali wa wezi. Siku za kuishi zinapita na umaskini unaokuhusu unabakia pale pale.
Weka ushahidi hapa wizi wa akina January, Nape nk! Au ndiyo zile kele za Lowasa, Rostam mafisadi and baadaye wakakumbatiwa na huyo mtu aliyewaita mafisadi! Report ya CAG kwa kiasi kikubwa inagusa miaka ya giza 2015-2021
Wewe ni chawa wa Mkwere sishangai kusema hivyo!!Ujinga
Kwa nini Jiwe hakuimaliza si aliongoza miaka 5 au? Mama ndio kwanza 2 ,una hoja nyingine?
Aende kwa mumewe Hafidh Zenj na sio Dubai anafuja TOZO zetu!Ulitaka aende likizo Kwa baba Yako au kwako?
Watu wanatetea matumizi mabaya ya Kodi zao inayopelekea wanaongezewa TOZO!Hizi nongwa hazina msaada kwa anayezileta na anayezisoma. Ni kujipa unyonge tu wa moyoni.
Unampangia wewe kama nani?Aende kwa mumewe Hafidh Zenj na sio Dubai anafuja TOZO zetu!
Kwa nini hamkuimaliza nyie?Miaka miwili kakopa trillioni ngapi na miradi bado imekwama? Zile kelele za Standard Gauge na Bwawa la umeme umezisikia tena kwenye magazeti? Mama amechanganyikiwa mpaka anaona aende DUBAI badala ya kwenda Zanzibar kwa shekh Hafidh!
Na wewe ni chawa wa nani Ili na Mimi nishangae?Wewe ni chawa wa Mkwere sishangai kusema hivyo!!
Unampangia wewe kama nani?
Hapa Tanzania angepumzikia wapi wakati kila sehemu ni kuchafu, matope, vumbi na harufu zisizoeleweka.
Mwanzoni sikuwa naelewa lines za uzi huu.Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.
View attachment 2585662View attachment 2585663
Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Kabla Hajawa Raisi Alishawahi Kuishi Kule So Ni....
Si alikuwa secreatary huyuMbona cv yake haisemi hivyo?
Tuseme au tunyamaze?Samia hana huo upuuzi! Ni mweupeee hana hata tone la mauchafu yenu! Na kwenye utawala wake hatazalisha wakuu wa mikoa/wilaya matajiri kama akina Makonda, Sabaya, Mnyeti!! Wezi now wanashughulikiwa kwa jicho la Umma, no kufichaficha or kumtimua na kumdhihaki CAG