Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Mungu amsaidie
 
Air force 2 Kamara Harris alipokuja Bongo mi nilikuwa mtu mmoja wapo niliokuwa bafatilia through flight radar na nilileta uzi humu ndege ya air tanzania kuzuiliwa kuingia katika anga ata mkoa wa Pwani.View attachment 2585709

Safari ya Nancy Pelosi siku anaenda Taiwan na kizaazaa chote kile ila ndege yake ilikuwa inaongekana katika flight radar, namimi nilikuwa nafulitia pia View attachment 2585711
Inashangaza kuona hadi leo watu hawajui ndege na hata meli zinakuwa tracked. Mara mwingine anakwambia Airforce One ni stealth, tangu lini Boeing 747 ikawa stealth.

Natumia sana Flightradar kutazama maeneo yenye migogoro kama Black Sea
 
Watanzania ni wajinga.

Kule blacksea zile drones zinaonekana vizuri
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Mengine ni kujaza matakataka tu tu nn kibaya sasa hapo? Raisi ni binadamu kama wewe kuwa mapumzikomi nayo ni story wakuu?
 
Kuna mtu alisema hii kadhia ya ubadhirifu huenda akasafiri [emoji3][emoji28]

Kumbe ni kweli?

Pressure ni kubwa aisee!

Watanzania sijui wameanza kujitambua?!

Maana naona wamechachamaa wanataka hatua zichukuliwe haraka bila subira yoyote.

Lakini hawawezi wafikia Wakenya.

Wakenya ni Habari nyingine !

Hawaogopi askari wala kiongozi.

Uoga ni dhambi.
Wakenya hawana mshahara mwezi wa wa 3 sasa, wavumilivu sana!! Nyinyi mkikatiwa umeme siku 1 tu makelele kwa waziri kipara
 
Comments nyingi ni za mawazo ya Kimasikini!

Sijawahi kuona Rais Commited kama tuliyenaye sasa!

Kuna mataifa sasa hivi yanawaza kusimamisha Rais Mwanamke.

Rais Samia namlinganisha na Chancellor Angela Mikhel wa Ujerumani.

Katika watu wasiopenda Mapesa ya Dhambi ni Huyu Mama!

Hivi kupumzika ni Dhambi!

Kuna wakati Mwanadamu anahitaji MUDA WAKE PEKE YAKE KWA AJILI YA RE TREAT...

KANISA KATOLIKI LINA ENDESHA RETREAT...NA UNAPATA WATU WAPYA Muda tu baada ya kumaliza retreat.

Mawazo mengine Bhana du!!!
Haya ni mapuuzi yanayoamini kulala na analog mafaili kitandani ndiyo UCHAPAKAZI mkuu, with all technology and kila kitu tulichonacho sasa, AKINA WANAHARAKATI HURU
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana mkuu, ni rahisi sana kumezeshwa ujinga na kuubeba kama ulivyo!
Mmmh!! Sidhani kama kuna uongo 100%, kuna dogo alikuwa akitract ndege za Musk, Bezzo hata trump, kila wajijaribu update system zao jamaa anabypass anatrak na kusema wanapoenda..
 
Mmmh!! Sidhani kama kuna uongo 100%, kuna dogo alikuwa akitract ndege za Musk, Bezzo hata trump, kila wajijaribu update system zao jamaa anabypass anatrak na kusema wanapoenda..
Na wewe unaamini huo ujinga? Hao watu uliowataja wakiamua kukutupia coordinates matango upambane nazo hawawezi? MAMA YUPO SEHEMU SALAMA ANAENDELEA NA MFUNGO, NI VILE TU WATU WAMEMMISS WANATOA HAYA MANENO YOTE, People wanatamani vile vijembe vyake, siyo mbaya pia watu kummiss Rais wao
 
Duhh🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom