Mara nyingi hauoni destination ila sina uhakika kwa ndege ya rais wa Tz
Pia ndege kuwa tracked hvy sio ishu kubwa mana hakuna details muhimu za ndani kabisa za ndege mfano, huwezi kujua kuna idadi gn ya watu humo ndani, serial number huzioni. Tunachoona ni safari zake, namba za usajili ya ndege, mmiliki wa ndege (kama ni private mara nyingi hua hawamuandiki mhusika) n.k
Air force one sijawahi kuona wakitaja destination, VP wa USA alivoondoka siku kama 5 hv mbele Air force one ilipita Tena kwenye anga letu lkn haikuwa na destination, hy siku nilikuwa napoteza muda kwa kuangalia ndege zinazopita kwenye anga letu na nikaiona hy ndege ikiwa kwenye uelekeo wa JNIA lkn ikapitiliza kuingia bahari ya Hindi.