Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Mama yenu anakula maisha tu, huku vijana wake nao akina "lameki" na wenzake wanajipigia tu kodi za walalahoi

 
Wenye muda na bundle la kutisha tafuteni documentary ya aljzeera investigate inayoitwa "GOLD MAFIA" huko you tube halafu mjifunze kuhusu watawala, viongozi wakubwa wa dini za upako hizi na fixer wengine.

Utaelewa kwanini hawa gold dealers magufuli wengi aliwapa Money Laundering cases. Kumbe wanasafisha pesa za watu.
Na ukisikia mtu kaenda Dubai kafungua ofisi sijui ya consultancy ujue anaelekea kwenye upigaji mkubwa.
 
Miradi yote ya hayati JPM inakwenda kumalizika na hilo ndilo la maana, awamu ya waislamu hii na wana hulka zao za miaka na miaka hatuwezi kuzibadilisha, tuwe wapole tu.
 
Mbona karudi zamani toka Dubai! Samia mbona anapata kigugumizi kuzirudisha hizo fedha alizotuambia zimefichwa China ili hali wakina Kabudi na former DPP wapo?
Rais hapangiwi ratiba ya kazi. Alituambia maneno hayo hayati JPM,
 
Hakuna rais wa afrika anayeweza kuukwapa ufisadi kwa asilimia mia moja. Sio kazi rahisi kama tunavyodanganyana humu jukwaani.

Sisi wenyewe tukipata nafasi huko serikalini tunakuwa mafisadi kama hao tunaowapigia makelele.
 
Miradi yote ya hayati JPM inakwenda kumalizika na hilo ndilo la maana, awamu ya waislamu hii na wana hulka zao za miaka na miaka hatuwezi kuzibadilisha, tuwe wapole tu.

Sidhani kama huyu mama atamaliza SGR na lile BWAWA kwani hivi sasa IMF na world Bank wamekwisha muwashia taa nyekundu kuhusu kushindwa kulipa madeni!! Ndio maana Mkwere anawaomba wananchi wamswalie!!

Samia ajue kwamba atahangaika kukopa nje na kuleta hao wawekezaji lakini mwisho wa siku ajue bila kudhibiti hawa mafisadi anaowafuga itakuwa sawa na kutaka kujaza Maji kwenye pipa lililotoboka ; Maji hayawezi kujaa kamwe!
 
Mda wa kula Bata.

Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.

Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Tena Kwa ndege inayolitia taifa hasara kubwa kimatumizi.
 
Mafisadi wapo siku zote wamekuwepo awamu zote sita. Na miradi inamalizika moja baada ya mwingine.

JPM na ukali wake wote watu walikuwa wanapiga kila kona akawa anaishia kusema ukigeuka huko watu wanapiga ukigeuka kule wanapiga. Wezi wapo kila sekta na kazi zinafanyika.

Sio kweli kwamba JK anaposema tumuombee SSH basi anamaanisha juu ya pesa za wazungu kupigwa.

Wanapiga pesa huko huko USA na maisha yanaendelea.
 

Kwahiyo wewe Phillipo ni muumini wa wale wanaosema unaweza kujaza maji kwenye pipa lenye matobo? Tafadhalini msimdanganye huyu mama!
 
Kwahiyo wewe Phillipo ni muumini wa wale wanaosema unaweza kujaza maji kwenye pipa lenye matobo? Tafadhalini msimdanganye huyu mama!
Mapipa yenye matobo yapo dunia nzima na maisha yanakwenda kama kawaida.

JPM alifanya maamuzi ambayo alipenda yaonekane ni magumu kwa kila mtu lakini madhara yake ni maumivu makubwa kwa taasisi nyingi na nyingine zikafa kabisa. Huwezi kuongoza nchi ukiwa na ajenda ya siri ya visasi na kukomoa baadhi ya matajiri.

Hawawezi kuishi kama mashetani bila ya mamilioni ya watu wanaowategemea kufikia hatua za kufa kabisa. SSH amekuwa mjanja na mnyenyekevu anayejua kuishi na watu haswa hawa wenye pesa zao.
 
Matobo kwenye mapipa yanapishana kiasi kwamba nchi masikini kama Tanzania ina matobo makubwa sana compared to a country like FINLAND! Hivyo do not justify ufisadi uliokithiri bongo kwa kusema eti ufisadi umetapakaa Dunia nzima!!
 
Magufuli mwenyewe alikuwa akiwaambia wananchi wamuombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…