TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Tumeambiwa aachwe afanye kazi!!! Wakati Mimi najua Mama yetu Dr Samia S. H. anaendeleza kazi.Muda wa kula Bata.
Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.
Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Ndege ya Rais imekuwa tracked mara nyingi ikielekea Oman kwa siri sana! Sijui huwa inapeleka nini kwa wajomba!Hi comments ndo nimeilewa sasa.
Machawa wa kisiasa wa Tanganyika siku chama kingine kikiingia madarakani nitashauri yanyongwe maana ndio yanayoshadadia bandari kuuzwa bila ufafanuziTangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.
View attachment 2585662View attachment 2585663
Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Alikuwa anatuuza kwa faida zake mwenyeweDP WORLD
Upewe heshima yako mkuu...DPW ilikuwa jikoniMuda wa kula Bata.
Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.
Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
WEWE UWE NA ADABU NI ASALI IPI UNAONGELEA HAPA? AU SIJAKUELEWA.Asali inalambwa mpka yenyewe inasema eeeeeeh
Ulinena, madili ya DP World yalianzia hapa.Muda wa kula Bata.
Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.
Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
ofcorse kwa nchi zingine, tunatakiwa kujua anaenda wapi na kufanya nini, manake hapo wapinzani wakisema ameenda kujaza pesa za waarabu wa dp world humo kwenye ndege, atakataa? hata kama sio kweli. mnaacha maswali mengi sana kwa raia bila sababu za msingi. huyu mama anapambana sana na hataki jina lake lichafuke, ila nawahakikishieni kuna genge la watu linampotosha sana, na hana namna ila alisikilize, ila siku akipata pengine pa kukamatia hilo genge atalitupa mbali hadi litajuta. tuendelee kumwombea kwa Mungu.Muda wa kula Bata.
Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.
Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Hakika.of
ofcorse kwa nchi zingine, tunatakiwa kujua anaenda wapi na kufanya nini, manake hapo wapinzani wakisema ameenda kujaza pesa za waarabu wa dp world humo kwenye ndege, atakataa? hata kama sio kweli. mnaacha maswali mengi sana kwa raia bila sababu za msingi. huyu mama anapambana sana na hataki jina lake lichafuke, ila nawahakikishieni kuna genge la watu linampotosha sana, na hana namna ila alisikilize, ila siku akipata pengine pa kukamatia hilo genge atalitupa mbali hadi litajuta. tuendelee kumwombea kwa Mungu.
Kwani amekwambia hana hela?Mbona hata JK huwa anaenda nje mara Kwa mara?!
Hivi anaenda kwa bajeti gani?
Si alishastaafu?
Kwani amekwambia hana hela?