of
ofcorse kwa nchi zingine, tunatakiwa kujua anaenda wapi na kufanya nini, manake hapo wapinzani wakisema ameenda kujaza pesa za waarabu wa dp world humo kwenye ndege, atakataa? hata kama sio kweli. mnaacha maswali mengi sana kwa raia bila sababu za msingi. huyu mama anapambana sana na hataki jina lake lichafuke, ila nawahakikishieni kuna genge la watu linampotosha sana, na hana namna ila alisikilize, ila siku akipata pengine pa kukamatia hilo genge atalitupa mbali hadi litajuta. tuendelee kumwombea kwa Mungu.