Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Muda wa kula Bata.

Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.

Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Tumeambiwa aachwe afanye kazi!!! Wakati Mimi najua Mama yetu Dr Samia S. H. anaendeleza kazi.
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Machawa wa kisiasa wa Tanganyika siku chama kingine kikiingia madarakani nitashauri yanyongwe maana ndio yanayoshadadia bandari kuuzwa bila ufafanuzi
 
[emoji56][emoji24][emoji24]
bf2d0ad8fba4cf5e1f4bf52b4badc48d.jpeg
14d0527d3049e8edaef556a8f0740298.jpeg
 
Muda wa kula Bata.

Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.

Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Ulinena, madili ya DP World yalianzia hapa.
 
of
Muda wa kula Bata.

Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.

Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
ofcorse kwa nchi zingine, tunatakiwa kujua anaenda wapi na kufanya nini, manake hapo wapinzani wakisema ameenda kujaza pesa za waarabu wa dp world humo kwenye ndege, atakataa? hata kama sio kweli. mnaacha maswali mengi sana kwa raia bila sababu za msingi. huyu mama anapambana sana na hataki jina lake lichafuke, ila nawahakikishieni kuna genge la watu linampotosha sana, na hana namna ila alisikilize, ila siku akipata pengine pa kukamatia hilo genge atalitupa mbali hadi litajuta. tuendelee kumwombea kwa Mungu.
 
Hakika.
 
Mbona hata JK huwa anaenda nje mara Kwa mara?!

Hivi anaenda kwa bajeti gani?

Si alishastaafu?
 
Kwani amekwambia hana hela?

Za kwenda nchi zote hizo?

Maana ktk wastaafu yeye ndiye anaonekana kufanya hivyo zaidi?!

Labda atafuatiwa na Huyu atakapostaafu maana zafanana Bus Service Coach ( Dar to Koogwe -Ushoto).

Mimi nimeuliza swali kwa niaba ya wananchi wengi.

Jibu swali na sio na wewe kuleta swali.
 
Kuna Wananchi wengine akiumwa hela ya kwenda kununua paracetamol hana,

Hela ya kipimo hana,

Ni maskini anakula mlo mmoja kwa siku .
 
Kuwa watu wengi sana wanakufa sababu ya kukosa uwezo wa hela ya kununulia dawa Na kulipia vipimo?!

Tujitafakali sana kwa Habari ya matumizi ya rasilimali za Umma na resources allocations.

Hii Kwa ujumla kwenye government spending kunahitajika kuundiwe Tume kama ule alounda Rais ya Haki Jinai.

Sasa aunde nyingine ya kuangalia swala zima la Government Spending.

Mfano manunuzi ya magari ya gharama kila Mwaka,

Je Kuna tija yoyote?

Mbadala waweza kuwa nini?

N.k.
 
Back
Top Bottom