Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Hii nchi inawapumbavu wengi sana mkuu, ni rahisi sana kumezeshwa ujinga na kuubeba kama ulivyo!
Uko sahihi mkuu na kila mwenye akili timamu yampasa kupitia post yako hii na kuifanyia kazi vizuri tu; si kwa hoja hii tu na ya mtu huyu tu, bali kwa hoja nyingine yoyote na inayomhusu yeyote. Ukipitia hizo comments unaona kabisa ni za watu wetu wale wenye shida zao za muda mrefu tu na huyo bi mkubwa; kwao, kutamka lolote baya dhidi yake ndiyo kipaumbele Chao namba 1. Tayari kadhaa yananenwa nao kwa furaha tele:-
-miradi dubai
-mjengo anaoujenga dubai
-sijui mbuga za wanyama n.k

Um-huh! BINADAMU!!!
 
Unakosea mkuu, ukiwa hujui kitu haimaanishi na wengine hawajui. Ukiwa huna taarifa au maarifa juu ya kitu fulani haimaanishi na wengine hawajui.
Mtoa mada ameandika sahihi kabisa ila ww ndie huna hayo maarifa/taarifa.
Wewe unaamini Samia anaweza kuhongeka kwa safari za Dubai? Akili ya kawaida tu
 
Habari za Yombo vituka mkuu
 
Mwacheni Mama aende kuwasalimia Wajomba zake!
 
Aliyesema kahongwa nan? Wewe ni nani yake kiasi unajua udhaifu wake? Hii safar umma haujaarifiwa? Hivi si huyuhuyu ana mjomba wake Oman?
Hahaha, pole sana Chief, Hizi siasa rahisi haziwezi mpata Samia, tafuta njia nyingine! Mother ni mweupeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…