Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Eti hatutaki matumizi ya zetu.
Kelele za chura tu hizo
 
Hakuna awamu ya TZ isiyokuwa na wezi wala isiyotengeneza mazingira ya upigaji, hata ya kwanza ya Mwalimuu Nyerere ilikuwa na upigaji kwani watu walizitumia sera zake katika kuweka mianya ya wizi. Kuna msomi mmoja alifilisi GAPCO, kuna waziri mmoja alinunua kivuko kibovu yote hayo ni ufisafi.

Samia anashambuliwa sana na wale Pro Magufuli kana kwamba JPM aliumbwa aongoze milele, wanamnyanyapaa kwa jinsia yake wanakosoa sera zake, yaani ni nongwa kwa kwenda mbele lakini ni sawa na kupiga ngumi ukuta, haiwasaidii chochote.
 
Anastahili kupumzika Rais wetu ana majukumu MAKUBWA na mazito yenye kutumia akili na nguvu nyingi
 
Watu wanatetea matumizi mabaya ya Kodi zao inayopelekea wanaongezewa TOZO!
Samia kaongoza kikao leo huko Dodoma, hakuna safari ya Dubai. Mkuu hizi ni nongwa tu. Kama suala ni kodi kuwauma sana wangemlaumu kwanza aliyepeleka pesa ya Plea Bargain kule China ambayo ni mabilioni ya pesa, yule alifanya wizi wa kufuru.
 
Umbea wa kijinga huu. Samia kaongoza kikao leo Dodoma. Haya majungu yanawafanya muonekane hamna kazi ya kufanya.
 
Samia anashambuliwa sana na wale Pro Magufuli kana kwamba JPM aliumbwa aongoze milele, wanamnyanyapaa kwa jinsia yake wanakosoa sera zake, yaani ni nongwa kwa kwenda mbele lakini ni sawa na kupiga ngumi ukuta, haiwasaidii chochote.
Time will tell!! Upigaji Awamu hii umekithiri pengine kwasasabu hana washauri wazuri!! Anategemea sana wanawake wenzi e na hao anawaita vijana ambao kwa kweli hawamsaidii huku anaacha hazina ya watu wenye experience!! Awatumie wazee awa kama washauri hawana haja ya kuteuliwa. Mkuchika sasa afya imezorota kuna wzee wenye afya bora kuliko huyo bwana!
 
Samia kaongoza kikao leo huko Dodoma, hakuna safari ya Dubai. Mkuu hizi ni nongwa tu. Kama suala ni kodi kuwauma sana wangemlaumu kwanza aliyepeleka pesa ya Plea Bargain kule China ambayo ni mabilioni ya pesa, yule alifanya wizi wa kufuru.
Mbona karudi zamani toka Dubai! Samia mbona anapata kigugumizi kuzirudisha hizo fedha alizotuambia zimefichwa China ili hali wakina Kabudi na former DPP wapo?
 
Ndio mjue hutuna rais. Yaani nchini kwake kakosa sehemuya mapumziko hadi aende dubai kuvunja mfungo wa ramazan eti kupmzika pasaka. Ukishaona rais hadi akapumzike nje ya nchi ujue ni mtu wa matanuzi tu kwa hiyo mkija kusikia vikao vya bodi za mashirika vimerejelewa kufanyika Oman, Dubai, au Afrika ya kusini msishangae.
 
waziri mmoja alinunua kivuko kibovu yote hayo ni ufisaf

Kweli Mustapha Nyanga'nyi na Marehemu Col.Kashmiri walipiga hela kwenye kile kivuko chakavu cha UNIFLOT enzi ya Mwalimu lakini hata hivyo upigaji ule huwezi linganisha na upigaji wa hawa vijana wa leo! Umeona tender ya SGR walivyoinflate licha ya malipo ya bwawa la Nyerere? .Ni kufuru kabisa shauri ya mama kushindwa kusimamia vilivyo matumizi ya Serikali yake. Hii mambo ya kusema kuwa anashambuliwa kwa sababu ni mwanamke haina tija.
 
Mtu kama Kabudi kaona shida kumpa wadhifa wa uwaziri anafikiri kijana kama Nape au Januari wana uwezo zaidi ya kujua ujanja wa kupiga hela ya umma na kutengeneza magoli ya mkono. Mwenyewe anawanyanyapaa wazalendo weledi kwa kisingizio eti anawapa wanawake na vijana madaraka. kwenye kuendesha nchi unatumia watu wenye mapenzi, uchungu wa nchi na wenye weledi. Kinachotakiwa ni kunafaika kwanza nchi sio mtu binafsi.
 

Watakuwa wanafuata nyayo za Rais wao!! Si mnakumbuka jinsi Kikwete alivyokuwa anasafiri mpaka akapachikwa jina la VASCO DAGAMA ; na watu wake nao wakaanza kupishana Airport kufuata nyayo za Kiongozi tao!
 
Kuna shida kupumzika? Mbona yule alikua anaenda kukaa mwezi 1 na zaidi kule shamba. C.h.a.t.o.
 
Mentor wake kasema tumuombee rais wetu jamani ili Mungu Ampe maisha marefu aendelee kuupiga mwingi mpaka 2035. Maneno mengi ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…