Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?


Nakubaliana na wewe yote uliyoyaandika sasa ingawa mwanzo uliamza na tuhuma kuwa mimi ni mwarabu HAPANA

Ubaguzi wanatufanyia sana ila mimi huwa siwezi kujiweka chini kwao na ninawaona wa kawaida tu kama Sisi
Najuana na wengi wenye pesa ndefu ila siwezi hata siku moja kuwanyenyekea wala kuwahitaji

Ukiwapa nafasi ya wao kujiona Superior hapo ndio tatizo linaanza
Akileta ubaguzi mpe za uso ila ukijishusha atakuona dhalili tu
Tusiwape nafasi hiyo ila na sisi tusiwe na chuki kisa walitutawala na kuuza babu zetu kama njugu

Hata Babu zetu wengine walihusika katika biashara hiyo
Niwie radhi sana kwa ukali wa maneno mwanzo

Ubaguzi umepungua sana miaka hii na duniani upo ila sio hivyo kama zamani
Watu wanabaguana kwa Koo na koo
Kabila kwa Kabila na Rangi pia

Ubaguzi hautaisha ila tuukemee kwa nguvu zote na tuwafundishe watoto wetu kwani Hakuna anaezaliwa na ubaguzi
Hao hao tulisoma nao na kucheza nao ila wanakuja kukatazwa baadae kuwa na sisi na wengine huvunja hiyo chain na kuamua kuoa kabisa

Usikasirike haya mambo yapo tupambane tu na hali yetu na kujielewa na kujitegemea
 
Ni ndugu zetu walituletea dini yao.
 
Umenena !! Muhimu ni kwamba usijiteremshe mwenyewe kwa MTU yeyote yule !! All people are equal !!
 
Kama ni ndugu yetu kihivyo angetoa tamko la kulaani damu zinazomwagika ngoro ngoro na kumwambia ndugu yake Kuwa awaambie vikosi KAZI virudi NYUMA KWANZA!!

Kama wamekaa KIMYA MAANA yake wanaunga mkono damu kumwagika chini za ndugu zetu!!
Wacha wamasai zile Ng'ombe zao Ziondoshwe uone vile wakenya watakuja juu maana ni za kwao
 
Serekalini ndio usiseme ubaguzi hadharani
 
Mbona mada unaipeleka kwenye UDINI? mtakuwa na mentality hii hadi lini? Mada yangu hakuna sehemu imegusia UISLAM
 
Kwani Nani aliwaambia mtuvamie, mngalibaki Na Tanganyika yenu yasingalitokea haya, Wacha karma ifanye vitu vyake
Aliyewakomboa ni John Okello aliwatoa kwa waarabu, Nyerere alikuja kurestore Order tu na kufanya amani
 
Serekalini ndio usiseme ubaguzi hadharani

Hapo ndio ubaguzi unapoanzia SERIKALINI hilo halina mjadala
Sijawahi kuona mahali serikali inakemea ubaguzi au kushawishi wenye asili nyingine bali wazawa kuwaambia waombe ajira serikalini kwa wingi NO
 
Hayo yanaendelea DRC au Ubelgiji hadi leo kama yanavyoendelea Oman kwa mabinti kwa kiafrika?
 
Mbona Wazilankende wana mahusiano na warundi na hatukutia neno? Jifunze uhimilivu kama deni la Taifa
Mkuu hoja yangu ina matukio mawili yanayohusu KUSAFIRISHWA KWA WANYAMA HAI.
1. cITY Bin AMM
2. Bi. Mkubwa akiwa tena Oman kasema tutashirikiana kuboresha usafiri wa majini kwa ajili ya KUSAFIRISHA WANYAMA HAI.

Nadhani umenipata sijahusisha DINI wala Asili kwa maana tofauti na hayo hapo juu
 
Crap. Wazungu hadharani kabisa wanajiita Superiors. Hadharani kabisa wao ni watu Bora, ni lini ulifungua bakuli lako kuhusu hilo?? Donald Trump na racists wengine wengi wamewaita watu weusi ni laana ya dunia. Umesahau au umejisahaulisha?? Such a low person!
 
Hapo ndio ubaguzi unapoanzia SERIKALINI hilo halina mjadala
Sijawahi kuona mahali serikali inakemea ubaguzi au kushawishi wenye asili nyingine bali wazawa kuwaambia waombe ajira serikalini kwa wingi NO
Acha kujitoa ufahamu hapo Zenji tu mbara hupati ajira wakati wazanzibari wamejaa kibao Tanganyika. Sembuse Serikali iruhusu na waarabu waajiriwe si mtakuwa watumwa maana hamuwezi kushindana nao kwenye Skills na elimu maana wao wanasomea ngambo wewe umesoma S/M mchambawima, ungepatia wapi ajira ua baba yako wa kiembe samaki?
 
Kama kuna mtu haoni tatizo kwenye hili tatizo basi yeye mwenyewe ndo tatizo.
Yaani hadi wamebadilisha mada imeonekana ya UISLAM na UDINI badala ya kuchambua FACTS kwamba hawa watu wanatuuzia wanyama wetu kwa WaOMAN ambapo wana nasaba nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…