Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

MKUU

Historia inawahukumu Sana weupe dhidi ya weusi!!

Kabla ya kuniita mbaguzi ibadili historia ya Dunia kwanza!

Hata Sasa kinachoendelea kule ngoro ngoro na lolliondo ni historia kujirudia ile ya Mwanzo Kuwa weupe ni superior KWA weusi!!!

Unashangaa nini kama mweusi akikosa imani na weupe!!?

Kama vitabu vyenyewe vinafundisha chuki hiyo Hadi kwenye imani ZETU zenyewe ubaguzi upo wa wazi kabisa unafikiri wangapi watapona na hilo unaloliita chuki!!?

Ni kana kwamba waasisi wa imani ZETU WOTE Wana ueupe hakuna weusi lengo la kuandika hayo yote ni nini kama sio ubaguzi wa wazi!!?

Tangu mtu anazaliwa Hadi anazeeka anafundishwa ueupe ni maridadi kuliko weusi na matendo ya kidunia yanasadifu hivyo Sasa unataka huo upendo unaodhani wa weusi KWA weupe ushamiri kivipi LABDA!!?

Yaani tulazimishwe kupitia imani upendo KWA wanaotutesa sio!!?hivi ingekuwa vice versa ungehubiri HAYO!!?

Ngoja Tuone hatma!!

Nakubaliana na wewe yote uliyoyaandika sasa ingawa mwanzo uliamza na tuhuma kuwa mimi ni mwarabu HAPANA

Ubaguzi wanatufanyia sana ila mimi huwa siwezi kujiweka chini kwao na ninawaona wa kawaida tu kama Sisi
Najuana na wengi wenye pesa ndefu ila siwezi hata siku moja kuwanyenyekea wala kuwahitaji

Ukiwapa nafasi ya wao kujiona Superior hapo ndio tatizo linaanza
Akileta ubaguzi mpe za uso ila ukijishusha atakuona dhalili tu
Tusiwape nafasi hiyo ila na sisi tusiwe na chuki kisa walitutawala na kuuza babu zetu kama njugu

Hata Babu zetu wengine walihusika katika biashara hiyo
Niwie radhi sana kwa ukali wa maneno mwanzo

Ubaguzi umepungua sana miaka hii na duniani upo ila sio hivyo kama zamani
Watu wanabaguana kwa Koo na koo
Kabila kwa Kabila na Rangi pia

Ubaguzi hautaisha ila tuukemee kwa nguvu zote na tuwafundishe watoto wetu kwani Hakuna anaezaliwa na ubaguzi
Hao hao tulisoma nao na kucheza nao ila wanakuja kukatazwa baadae kuwa na sisi na wengine huvunja hiyo chain na kuamua kuoa kabisa

Usikasirike haya mambo yapo tupambane tu na hali yetu na kujielewa na kujitegemea
 
Mkuu
Yote nayajua

Sijawahi kuwa na imani Sana na race hizi zinzojiona superior kuliko sisi weusi!!

TAHADHARI inahitajika sana kuishi na hawa jamaa!!!

Ni vigumu kujiachia Sana ki hivyo tuna mashaka na jinsi wanavotuchukulia!!!

Kuishi na watu wanahisi WAO ni superior kuliko sisi kuna hitajika tahadhari!!

Ni kweli ukarimu wetu ulituponza Hadi Hadi leo!

Na bado Hadi leo sisi ni wakarimu na hatujaacha lakini ukarimu wetu unatusaliti Baadae kwa Hawa jamaa!!!

Wasiwasi ndio akili

Hatuwabagui!!!
Ni ndugu zetu walituletea dini yao.
 
Umenena !! Muhimu ni kwamba usijiteremshe mwenyewe kwa MTU yeyote yule !! All people are equal !!
 
Kama ni ndugu yetu kihivyo angetoa tamko la kulaani damu zinazomwagika ngoro ngoro na kumwambia ndugu yake Kuwa awaambie vikosi KAZI virudi NYUMA KWANZA!!

Kama wamekaa KIMYA MAANA yake wanaunga mkono damu kumwagika chini za ndugu zetu!!
Wacha wamasai zile Ng'ombe zao Ziondoshwe uone vile wakenya watakuja juu maana ni za kwao
 
Ubaguzi mbaya sana
Nyerere alimuweka Amir H Jamal kuwa waziri wa Fedha kwa kuwa alijua hawezi kumuangusha
Lakini alikuwa mbaguzi mkubwa sana kwani angetaka wengi wangeingia Serikalini ila hakutaka kabisa

Waarabu, Wasomali na hata Wahindi walikaribishwa Tz au Africa kwa ujumla ila bado hawakupewa nafasi zozote na sio kuwa hawakupenda bali ni mbinu za ubaguzi

Nakumbuka shule waliimbishwa wimbo wa Taifa na hata kucheza ngoma za jadi na kimila ila walipokuwa wakawa sio kitu

Ndio maana wakaona isiwe tabu tutapambana nao kwenye biashara tu
Leo kwetu mmoja tu kaingia jeshi na siasa matusi kila siku
Mwingine nae kawa waziri ila bado kuna wabaguzi wanamkandia

Eti wanahoji kwanini ana asili ya kiarabu
Yaani kote huko kafanyakazi hakumuona mpaka kupewa kuongoza Nchi na bado wanaongea shame on them

Lazima tubadilike
Serekalini ndio usiseme ubaguzi hadharani
 
Na katika hili halitoonekana tatizo lolote lile. Ila atokee tu mtu awe na uhusiano wa kiukoo na familia za kiarabu basi hali ndio kama hii unayoiona.

Islamophobia ni tatizo ambalo watu hawajawa tayari kulishughulikia. Kimsingi watu wasio waislam wanatengenezewa woga wa hali ya juu kuhusu Uislam. Hapa yote haya ni kwasababu ya dini ya Mheshimiwa rais.
Mbona mada unaipeleka kwenye UDINI? mtakuwa na mentality hii hadi lini? Mada yangu hakuna sehemu imegusia UISLAM
 
Kwani Nani aliwaambia mtuvamie, mngalibaki Na Tanganyika yenu yasingalitokea haya, Wacha karma ifanye vitu vyake
Aliyewakomboa ni John Okello aliwatoa kwa waarabu, Nyerere alikuja kurestore Order tu na kufanya amani
 
Serekalini ndio usiseme ubaguzi hadharani

Hapo ndio ubaguzi unapoanzia SERIKALINI hilo halina mjadala
Sijawahi kuona mahali serikali inakemea ubaguzi au kushawishi wenye asili nyingine bali wazawa kuwaambia waombe ajira serikalini kwa wingi NO
 
Vipi King Leopard wa ubeligiji umesomea historia alifanya nini Kongo DRC ?

Search gugo kijana Ota Benga aliwekwa makumbusho ya Sokwe na wazungu akawa anafanywa kama kivutio chawatalii.

Unamjua mwana Mama mwenye makalio makubwa yule aliyesafirishwa mpk ulaya kwa ajili ya maonyesho akiwa uchi , kutumia na kuchezewa na kutumika kimwili ?

Una jua yanayoendelea duniani na yanayofanyika nyuma ya pazia ?
Hayo yanaendelea DRC au Ubelgiji hadi leo kama yanavyoendelea Oman kwa mabinti kwa kiafrika?
 
Mbona Wazilankende wana mahusiano na warundi na hatukutia neno? Jifunze uhimilivu kama deni la Taifa
Mkuu hoja yangu ina matukio mawili yanayohusu KUSAFIRISHWA KWA WANYAMA HAI.
1. cITY Bin AMM
2. Bi. Mkubwa akiwa tena Oman kasema tutashirikiana kuboresha usafiri wa majini kwa ajili ya KUSAFIRISHA WANYAMA HAI.

Nadhani umenipata sijahusisha DINI wala Asili kwa maana tofauti na hayo hapo juu
 
Mkuu
Yote nayajua

Sijawahi kuwa na imani Sana na race hizi zinzojiona superior kuliko sisi weusi!!

TAHADHARI inahitajika sana kuishi na hawa jamaa!!!

Ni vigumu kujiachia Sana ki hivyo tuna mashaka na jinsi wanavotuchukulia!!!

Kuishi na watu wanahisi WAO ni superior kuliko sisi kuna hitajika tahadhari!!

Ni kweli ukarimu wetu ulituponza Hadi Hadi leo!

Na bado Hadi leo sisi ni wakarimu na hatujaacha lakini ukarimu wetu unatusaliti Baadae kwa Hawa jamaa!!!

Wasiwasi ndio akili

Hatuwabagui!!!
Crap. Wazungu hadharani kabisa wanajiita Superiors. Hadharani kabisa wao ni watu Bora, ni lini ulifungua bakuli lako kuhusu hilo?? Donald Trump na racists wengine wengi wamewaita watu weusi ni laana ya dunia. Umesahau au umejisahaulisha?? Such a low person!
 
Hapo ndio ubaguzi unapoanzia SERIKALINI hilo halina mjadala
Sijawahi kuona mahali serikali inakemea ubaguzi au kushawishi wenye asili nyingine bali wazawa kuwaambia waombe ajira serikalini kwa wingi NO
Acha kujitoa ufahamu hapo Zenji tu mbara hupati ajira wakati wazanzibari wamejaa kibao Tanganyika. Sembuse Serikali iruhusu na waarabu waajiriwe si mtakuwa watumwa maana hamuwezi kushindana nao kwenye Skills na elimu maana wao wanasomea ngambo wewe umesoma S/M mchambawima, ungepatia wapi ajira ua baba yako wa kiembe samaki?
 
Kama kuna mtu haoni tatizo kwenye hili tatizo basi yeye mwenyewe ndo tatizo.
Yaani hadi wamebadilisha mada imeonekana ya UISLAM na UDINI badala ya kuchambua FACTS kwamba hawa watu wanatuuzia wanyama wetu kwa WaOMAN ambapo wana nasaba nao
 
Back
Top Bottom