Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Miafrika ndivyo ilivyo , ubishi mwingi
 
Mneshindwa kumaliza ubaguzi hapo tu Zenji sembuse TZ, mbona watu wa bara hamtaki wamiliki ardhi na mkija huku mmejazana kwenye mashamba, mbona unaongea kama umezaliwa na kukulia "maskati"? tuhahoji uhusiano huu na wanyama wetu na sio dINI KAMA MNAVYOTWIST
 

Haya hata kijiweni hawaongei utumbo huu bali kwenye mataptapu au mbege

Halafu neno half caste ni ubaguzi mkubwa sana tena sana maana neno Caste ni Pure sasa utamuitaje mtu Half Pure?
Wanaitwa mix race sawa
Nyie ni zaidi ya watumwa maana huijui hata historia ya utumwa kuwa baadhi ya babu zako waliwakamata wenzao na kwenda kuwauza

Sasa kama waliwahasi babu zetu Mbona waarabu hao hao tena Wafalme walioa vijakazi wao na kuwazalisha?

Nikupe mfano mmoja huko Kuwait ambapo Marehemu King Abdallah Al Salim Al Sabah (mwarabu ) alimuoa mtumwa wake Mweusi na kuzaa watoto ambapo Mtoto wake mmoja Sheikh Saad (marehemu) akaja kuwa Mfalme pia tena kafuata weusi wa mama kabisa

Sasa kama ni wabaya hivyo huyo angefika hapo alipofika tena Black?

 
Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM Angalia hio video uone baadhi ya wazenji wasivyotaka kutawaliwa na Waarabu kwa kigezo cha uwekezaji
 
Hakuna shida lakini shida itakuja pale ata-abuse nafasi yake kwa ajili ya kuwapa faida jamaa zake
Si umemsikia akiahidi kudumisha usafiri ya majini kwa ajili ya KUSAFIRISHA WANYAMA HAI unangisha na yanayoendelea LOLIONDO na NGORONGORO
 
Unasaba na familia ya kifalme havina sababu ya kukushtua hata kama ni kweli. Na sidhani kama rais au kiongozi yeyote yule yuko kwa ajili ya kuuza au kusafirisha wanyama. Nafikiri tuangalie zaidi namna ya kuitoa Tanzania ilipo kwa sasa na kuipeleka next level. Tuache kuangalia huyu ni ndugu yake nani! Sisi sote ni ndugu!
 
Tatizo ni nini mkuu? Mbona munaogopa waarabu kiasi hicho? au ndio nyinyi wale mkiwaona tu waarabu suruali zinaanza kuvuka wenyewe?
Suruali kuvuka ilikuwa zamani wakati wanachukuwa watumwa siyo sasa. Waarabu wengi wamebobea kwenye kwenye kuhonga viongozi wa serikali kwa manufaa yao. Hili lipo kwa kila race, lakini waarabi ni zaidi.
 
Mbona marehemu alikuwa raia wa Rwanda?? Cha ajabu ni kitu gani hapo?
 
Mbona marehemu alikuwa raia wa Rwanda?? Cha ajabu ni kitu gani hapo?

Aliwauzia nini hao wanyarwanda 👆 👆 👆 👆 👆
 

Mkuu mimi napinga ubaguzi mnaoushupalia
Kuna human rights ujue
Kama mjadala ulikuwa wa wanyama why you didn’t stick to that then
Mbona na wewe unahama hama mara huku mara huku

Halafu nilikuwa nadhani una akili kiasi kumbe kichwa kutupu kabisa

Unawezaje ku assume rangi ya mtu na wakati humjui
Mtu mwenye mwenye akili zake humu hawezi kubuni tu na kumdhani mwenzie ni mzanzibari au mbara bila yeye kukuambia

Kwa taarifa yako kute huko unakonipeleka Mimi sipo sina hata unasaba na Wazenji wala waarabu ila nachangia tu kama mdau
Acha Ramli Mkuu
Mimi ni mweusi tena mzaliwa wa Bara usitafute ushawishi kwa wengine ok

Tupingane kwa hoja tu ila usiniite mwarabu wala nini maana mimi pia sijabuni wewe asili yako na wala sitaki kuijua bali napigania kuacha Ubaguzi tu

Wanyama nawapenda sana na siwezi kukubaliana eti muwekezaji achukue Eneo ili mimi mwananchi nipigwe marufuku kwenda big NO
Tutakubaliana baadhi na mengine tuyaache
But don’t provoke me
 
Kwaio tunakubaliana Zenji wanatubagua sana wabara?
 
Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM Angalia hio video uone baadhi ya wazenji wasivyotaka kutawaliwa na Waarabu kwa kigezo cha uwekezaji

Pongezi kwao kuna watu wanajielewa
Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake ila huyo ameenda mbali sana
Kama ni opposition sawa (kwa Africa)

Kwa nchi zilizoendelea hata anaetoka chama hicho hicho anatoa mawazo yake bila kupigwa wala kufukuzwa uanachama huo ni uonezi wa hali ya juu
Haukubaliki
 
Hata mm nina vinasaba vya Oman sema matatizo ya maji sijaoga ndo maana naonekana hivi
 
Kwaio tunakubaliana Zenji wanatubagua sana wabara?

Mimi nimeenda Zanzibar kutalii kama mara tatu hivi tena nilienda Unguja na Pemba pia
Mkuu hao wana shida sana hata biashara wateja ni wachache sana Ndio maana unaona wamejaa kwetu

Hawana ardhi kubwa na ukienda Pemba ndio kabisa utaona mashimo makubwa sana yaliyochukua nafasi kubwa sana nafikiri ni volcano [emoji291] iliyopiga hapo miaka million iliyopita

Sasa hao ndugu ni wa kuwahurumia tu
Waacheni maana walioharibu ni watangulizi kwa makubaliano yao ambayo kila kukicha wanafanya amendments


Hitimisho hawabagui bali hawana pa kutuweka ardhi yenyewe kama kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…