Kama nchimbi kaandika,hawezi andika kama Hana back up ya uandishi wenyewe na kama amekubali basi atakua ana mbadala wa mapambano nje ya mfumo tokana na ushawishi wake kwa vyombo!!elewa vyombo!!
Ngoja tuone,kama ni simbachawene kweli au lah!!
Kama ni uongo atakanusha!!
Rasmi Kuna vita za aina mbili
Utanganyika vs uzanzibari!
uislam vs ukristo!!
Wa kulaumiwa sio samiah pekee,ni watangilizi wake ambao walishupaza shingo kuhusu mabadiliko ya katiba!!
Anachofanya mama ninkutumia wembe ule ule wa kikatiba kifanya yake kama watangulizi wake!!
Wazanzibari wamepata mwanya wa kutamba baada ya kuteswa kwa muda mrefu na kumwagwa damu yao kila chaguzi kila mwaka huko Zanzibar na wao wanafanya vile vile!!
TATIZO MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU!!
watanganyika tunavuna tulichopanda Damu za wazanzibari za miaka mingi na mkwamo wa kisiasa uliwaumiza unalipwa kwetu huku kama wao!!
Vilio vimekua vikubwa coz hatujazoea!!! Zanzibar wameteswa na mazombi kwa miaka mingi,kina jumbe walijiuzulu au kualzimishwa!!
Kazi na utu,tinasonga mbele!!