Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

Angalia basi hata muda wa account kujoin X ndugu yangu original ni since 2018 ,hiyo fake imefunguliwa August yani mwezi huu na huenda ikawa ni leo kabisa ,bluetick isiwe kigezo cha kuruhusu kupumbazwa
Hiyo Counter checking uliyoifanya siyo lazima kila mtu aifanye. Wengine wakiona Blue tick hiyo inakuwa ni alama ya "authentication" ya hiyo akaunti.

Jee kwenye akaunti "halisi" ya Simbachawene mpaka sasa wameshakanusha kuwa hiyo akaunti si yake?
 
Hata nisipoipost angalia watu walioitazama
Hiyo ni audience inafatalia kutokana na uhalisia wa mambo uliopo sasahivi na ndiyo lengo kubwa la mhusika aliyefanya hicho kitendo na kafanya kwa sababau maalumu anayoijua yeye either iwe kwa kuambiwa jambo flani au kujua jambo flani.

Inshort post imekaa kumchafua chawene ,huwenda ujumbe ukawa sahihi ila ni kiongozi mjinga pekee ndiye anayeweza kufanya jambo kama hilo kwa wakati kama huu.

Mfano mimi binafsi nisingejua kuwa kuna hiyo post kama mdau asingepost huku lakini kutokana na yeye kutokujua ndiyo maana kaja kuuliza kama ni kweli ,tunaoelewa ndiyo tunawaelewesha hali halisi ila bado hamtaki kuelewa.
 
Hiyo Counter checking uliyoifanya siyo lazima kila mtu aifanye. Wengine wakiona Blue tick hiyo inakuwa ni alama ya "authentication" ya hiyo akaunti.

Jee kwenye akaunti "halisi" ya Simbachawene mpaka sasa wameshakanusha kuwa hiyo akaunti si yake?
Akanushe ili iende mbali zaidi 😂?
Hapo itakuwa ni kumnufaisha adui yake sasa ndiyo maana labda kachagua kukaa kimya ila ni mjinga pekee ataamini yaliyoandikwa humo ni maneno ya kiongozi anayejitambua kama simbachawene
 
Hiyo ni audience inafatalia kutokana na uhalisia wa mambo uliopo sasahivi na ndiyo lengo kubwa la mhusika aliyefanya hicho kitendo na kafanya kwa sababau maalumu anayoijua yeye either iwe kwa kuambiwa jambo flani au kujua jambo flani.

Inshort post imekaa kumchafua chawene ,huwenda ujumbe ukawa sahihi ila ni kiongozi mjinga pekee ndiye anayeweza kufanya jambo kama hilo kwa wakati kama huu.

Mfano mimi binafsi nisingejua kuwa kuna hiyo post kama mdau asingepost huku lakini kutokana na yeye kutokujua ndiyo maana kaja kuuliza kama ni kweli ,tunaoelewa ndiyo tunawaelewesha hali halisi ila bado hamtaki kuelewa.
Nimekuelewa.

Sema vita siku hizi zimebadilika sana.

Yaani CCM walipuuzia sana vijana na nguvu ya internet na mitandao kuelekea uchaguzi wa October 29.

Kwa sasa ni dhahiri CCM inapigana kupata Uhalali, ila hili jambo linatengeneza mpasuko mkubwa sana kwenye Uzanzibari
 
Binafsi naona sio kutengeneneza tena bali mpasuko ushatokea na ni mkubwa sana ,yetu macho tu fukuto liliopo ndani inaonekana si la kawaida
 
Nisichoelewa ni kwamba juhudi za kuuzima uzanzibari na utanganyika zilifanyika sana. Kwa sasa labda wapo wanaofaidika nazo.

Zanzibar ikipita salama katika hili ishukuru Mungu.
 
Uzanzibari na Utanganyika hauwezi kuzimika tena. Biblia inasema mtawala akikosa washauri nchi huanguka.

Huwezi ukaruhusu Makamu ajiuzulu labda kama hii ni karata ya nchimbi
 
Jamii Check imeachia kuendelee kama ilivyo?
Iko bize na kucheck simulizi za samaki mtu mkuu
413668.jpg
 
Account yake Rasmi kule mjini X ni hii, na haiko verified, haijawahi post chochote, (HATA DALALI MKUU WA SIASA ZA HII NCHI KAMFOLLOW)... hata ac yake ya insta haiko verified, na ina followers 7k+

Hii habari ni ya kupikwa! Kwa maslahi ya watu.
View attachment 3657371
Sasa hili ndiyo kosa lake 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom