Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
nitakujaTlaatlaah ,Lucas Mwashambwa ,Samia atosha tukutane2030 bado mna nafasi wa kuungama dhambi ya kumsaidia ibilis hamjachelewa
nitakujaTlaatlaah ,Lucas Mwashambwa ,Samia atosha tukutane2030 bado mna nafasi wa kuungama dhambi ya kumsaidia ibilis hamjachelewa
Simwoni Simbachawene akiwa na mkia mgumu wa kuyanena hayo! Labda alikuwa kalewa!
Pia akina Maalim Seif, akina Othuman Masoud Othuman, n.kkina jumbe walijiuzulu au kualzimishwa!!
Hata mimi nashangaa, mdume inateswa mwanamke?Hana huo ujasiri. Halafu wote wanamuogopa Samiah.
Bado hawajamuua?
Atakuwa ameandika mke wake. Simbachawene jasusi? Nitakuwa wa mwisho kuamini, namjua ana kiapo kikubwa!
Du hii methali ndio naisikia leo😍Maji yanatoa vumbi sio mchezo