Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

Udukuzi. Wanamharibia asifikiriwe uteuzi wa VP.
Think beyond.


Huyo mama anaanguka trust me.


Hata wakina Rostam, watamkacha.

Mauaji yatakuwa makubwa. Wakijifanya kichwa ngumu.


NB. Simbachawene hawezi kuteuliwa na huyu mama Tena. Huyu mama akitema ametema.

Muandishi ni yeye mwenyew
 
HQn2mjSWwAAZwaB.jpg
 
Akaunti imejiunga X August, 2026 na ina followers 28 tu!!


Huyo atakuwa ni mmoja tu wa wachochezi wa kuni za fitna. Ngoja nikamripoti kwa X (zamani Twitter) huyo impersonator.


Simuoni tena Akaunti yake huyo impersonator. Itakuwa washaifyeka Akaunti kabla sijaenda kuiripoti. Maana niliiona sio punde ila siioni tena niliporudi.
 
Simuoni tena Akaunti yake huyo impersonator. Itakuwa washaifyeka Akaunti kabla sijaenda kuiripoti. Maana niliiona sio punde ila siioni tena niliporudi.
1000259203.png


Upya wa account sio hoja ya msingi sana, swali la msingi kwa nini jambo hili lije wakati tuko kwenye mpasuko wa kisiasa nchini, unataka kusema watu wote wanaridhishwa na Samia?

Hapa tusubiri mwenyewe atoke hadharani akatae kama wanahusika.

Ninachokubaliana na wewe ni kuwa Teknolojia imekuwa sana, lolote linawezekana.
 
Back
Top Bottom