The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Fekelo ,chawene hatumii handle hii huko X
Fekelo ,chawene hatumii handle hii huko X
Issue ni kuwa yeye mwenyewe hajakanusha na wakati huu nchi iko kwenye hali mbaya ya siasaFekelo ,chawene hatumii handle hii huko X
Wataikana fasta sana
Hapana sio account yake .
Account kuwa mpya haiondoi uhusika ndugu.Hapana sio account yake .
Account imejoin X mwezi huu View attachment 3657334
Uandishi wenyewe wa AI .
TAFADHALINI SANA VIJANA MSIIFANYE JF kuwa kama Facebook au Instagram.
Jueni kuchuja fake and genuine
Naelewa hoja yakoIsije ikawa imedukuliwa
Wenye huu ujasiri Tanzania hawapo
Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!Hapana sio account yake .
Account imejoin X mwezi huu View attachment 3657334
Uandishi wenyewe wa AI .
TAFADHALINI SANA VIJANA MSIIFANYE JF kuwa kama Facebook au Instagram.
Jueni kuchuja fake and genuine
Haya ni sehemu ya matukio makubwa nchini kama ilivyo kuwa kesi ya Lissu, chapisho hilo litakuwapo kesho na kesho kutwaHivi leo ni kesi ya Lissu?
Mnawatoa watu kwenye reli tunalijua hilo.
Jiongeze hata uandishi huuoni mkuu? Mtu kakopi nakupaste from Ai source na ukiangalia ni kama imekaa kimkakati kumchafulia george huwenda aliyeandaa amenusa kitu flani .View attachment 3657326
Upya wa account sio hoja ya msingi sana, swali la msingi kwa nini jambo hili lije wakati tuko kwenye mpasuko wa kisiasa nchini, unataka kusema watu wote wanaridhishwa na Samia?
Hapa tusubiri mwenyewe atoke hadharani akatae kama wanahusika.
Ninachokubaliana na wewe ni kuwa Teknolojia imekuwa sana, lolote linawezekana.
Tatizo siyo Tanzania na Zanzibar. Tatizo ni CCM.Hata kama ni udukuzi... Kilichoandikwa ndicho ukweli wa mambo.
Tanganyika na Zanzibar hali si shwari!
Nimetoka kumwambia ndugu yetu, teknolojia imekuwa sana,Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!
Hapana sio account yake .
Account imejoin X mwezi huu View attachment 3657334
Uandishi wenyewe wa AI .
TAFADHALINI SANA VIJANA MSIIFANYE JF kuwa kama Facebook au Instagram.
Jueni kuchuja fake and genuine
Hata nisipoipost angalia watu walioitazamaJiongeze hata uandishi huuoni mkuu? Mtu kakopi nakupaste from Ai source na ukiangalia ni kama imekaa kimkakati kumchafulia george huwenda aliyeandaa amenusa kitu flani .
Na nyie ndiyo mnaotumika kupush iende mbali pasi na nyie kufahamu
Sasa hii na ile unatofautisha vipi ndugu yangu.View attachment 3657339
Account ya george ni hii
Sasa mfano kama mtu account kafungua leo na kapost wewe kama mmiliki ungejuaje kwa mfano? Kwa mfano mimi sahivi niamue nifungue handle humu nijiite george chawene nilipie subscription ya bluetick kwa max then niipropmt chatgpt anipe andiko kama hilo nipost huku huyo george og atajuaje?Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!
Angalia basi hata muda wa account kujoin X ndugu yangu original ni since 2018 ,hiyo fake imefunguliwa August yani mwezi huu na huenda ikawa ni leo kabisa ,bluetick isiwe kigezo cha kuruhusu kupumbazwaSasa hii na ile unatofautisha vipi ndugu yangu.
But unaamini kuwa ni fekelo?Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!
Fake news
Dah! Mambo yamekuwa mengi ghafla safari mwana mwanaharamu hapiti na kombe liko waziHivi tetesi za polepole kupigwa masasi na sa200 ni za.kweli?