Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

Hapana sio account yake .
Account imejoin X mwezi huu View attachment 3657334

Uandishi wenyewe wa AI .
TAFADHALINI SANA VIJANA MSIIFANYE JF kuwa kama Facebook au Instagram.
Jueni kuchuja fake and genuine
Account kuwa mpya haiondoi uhusika ndugu.

Kwa huko X huyo mtu ana account moja iliyokuwa verified na kwa haya matukio tuombe waikane
 
Hapana sio account yake .
Account imejoin X mwezi huu View attachment 3657334

Uandishi wenyewe wa AI .
TAFADHALINI SANA VIJANA MSIIFANYE JF kuwa kama Facebook au Instagram.
Jueni kuchuja fake and genuine
Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!
 
Jiongeze hata uandishi huuoni mkuu? Mtu kakopi nakupaste from Ai source na ukiangalia ni kama imekaa kimkakati kumchafulia george huwenda aliyeandaa amenusa kitu flani .
Na nyie ndiyo mnaotumika kupush iende mbali pasi na nyie kufahamu
 
Usilaumu vijana tu. Akaunti ina blue tick ila mwenyewe hakujua kama ipo na hakuwahi kusema siyo yake... Hiyo nayo ni uzembe kwa mtu mwenye hadhi kama yake!
Sasa mfano kama mtu account kafungua leo na kapost wewe kama mmiliki ungejuaje kwa mfano? Kwa mfano mimi sahivi niamue nifungue handle humu nijiite george chawene nilipie subscription ya bluetick kwa max then niipropmt chatgpt anipe andiko kama hilo nipost huku huyo george og atajuaje?

Kutokana na hayo maendeleo ya teknolojia ndiyo na wananchi mnatakiwa kujiongeza kujua halali na isiyo halali period
 
Sasa hii na ile unatofautisha vipi ndugu yangu.
Angalia basi hata muda wa account kujoin X ndugu yangu original ni since 2018 ,hiyo fake imefunguliwa August yani mwezi huu na huenda ikawa ni leo kabisa ,bluetick isiwe kigezo cha kuruhusu kupumbazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…