Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hiyo Counter checking uliyoifanya siyo lazima kila mtu aifanye. Wengine wakiona Blue tick hiyo inakuwa ni alama ya "authentication" ya hiyo akaunti.Angalia basi hata muda wa account kujoin X ndugu yangu original ni since 2018 ,hiyo fake imefunguliwa August yani mwezi huu na huenda ikawa ni leo kabisa ,bluetick isiwe kigezo cha kuruhusu kupumbazwa
Hiyo ni audience inafatalia kutokana na uhalisia wa mambo uliopo sasahivi na ndiyo lengo kubwa la mhusika aliyefanya hicho kitendo na kafanya kwa sababau maalumu anayoijua yeye either iwe kwa kuambiwa jambo flani au kujua jambo flani.Hata nisipoipost angalia watu walioitazama
Sasa issue ya Mitandao ndio hii account yake haijapost ndio inaweza ikawa sio yake.Fake
Acc yake haijapost kitu chochote.
Labda kama ninayoijua sio
Akanushe ili iende mbali zaidi π?Hiyo Counter checking uliyoifanya siyo lazima kila mtu aifanye. Wengine wakiona Blue tick hiyo inakuwa ni alama ya "authentication" ya hiyo akaunti.
Jee kwenye akaunti "halisi" ya Simbachawene mpaka sasa wameshakanusha kuwa hiyo akaunti si yake?
Nimekuelewa.Hiyo ni audience inafatalia kutokana na uhalisia wa mambo uliopo sasahivi na ndiyo lengo kubwa la mhusika aliyefanya hicho kitendo na kafanya kwa sababau maalumu anayoijua yeye either iwe kwa kuambiwa jambo flani au kujua jambo flani.
Inshort post imekaa kumchafua chawene ,huwenda ujumbe ukawa sahihi ila ni kiongozi mjinga pekee ndiye anayeweza kufanya jambo kama hilo kwa wakati kama huu.
Mfano mimi binafsi nisingejua kuwa kuna hiyo post kama mdau asingepost huku lakini kutokana na yeye kutokujua ndiyo maana kaja kuuliza kama ni kweli ,tunaoelewa ndiyo tunawaelewesha hali halisi ila bado hamtaki kuelewa.
HakikaSasa issue ya Mitandao ndio hii account yake haijapost ndio inaweza ikawa sio yake.
But all in all Nchi inahitaji ukombozi na Kupatikana kwa Tanganyika Ni lazima
Binafsi naona sio kutengeneneza tena bali mpasuko ushatokea na ni mkubwa sana ,yetu macho tu fukuto liliopo ndani inaonekana si la kawaidaNimekuelewa.
Sema vita siku hizi zimebadilika sana.
Yaani CCM walipuuzia sana vijana na nguvu ya internet na mitandao kuelekea uchaguzi wa October 29.
Kwa sasa ni dhahiri CCM inapigana kupata Uhalali, ila hili jambo linatengeneza mpasuko mkubwa sana kwenye Uzanzibari
Nisichoelewa ni kwamba juhudi za kuuzima uzanzibari na utanganyika zilifanyika sana. Kwa sasa labda wapo wanaofaidika nazo.Binafsi naona sio kutengeneneza tena bali mpasuko ushatokea na ni mkubwa sana ,yetu macho tu fukuto liliopo ndani inaonekana si la kawaida
Yetu macho Mungu ibariki Tanzania ,Tanganyika na watu wake woteNisichoelewa ni kwamba juhudi za kuuzima uzanzibari na utanganyika zilifanyika sana. Kwa sasa labda wapo wanaofaidika nazo.
Zanzibar ikipita salama katika hili ishukuru Mungu.
Uzanzibari na Utanganyika hauwezi kuzimika tena. Biblia inasema mtawala akikosa washauri nchi huanguka.Nisichoelewa ni kwamba juhudi za kuuzima uzanzibari na utanganyika zilifanyika sana. Kwa sasa labda wapo wanaofaidika nazo.
Zanzibar ikipita salama katika hili ishukuru Mungu.
Iko bize na kucheck simulizi za samaki mtu mkuuJamii Check imeachia kuendelee kama ilivyo?
Account yake Rasmi kule mjini X ni hii, na haiko verified, haijawahi post chochote, (HATA DALALI MKUU WA SIASA ZA HII NCHI KAMFOLLOW)... hata ac yake ya insta haiko verified, na ina followers 7k+
Sasa hili ndiyo kosa lake ππππAccount yake Rasmi kule mjini X ni hii, na haiko verified, haijawahi post chochote, (HATA DALALI MKUU WA SIASA ZA HII NCHI KAMFOLLOW)... hata ac yake ya insta haiko verified, na ina followers 7k+
Hii habari ni ya kupikwa! Kwa maslahi ya watu.
View attachment 3657371
Maana yake niniKuna mtangazaji mmoja alisemaga Tanzania inapitia kitu kinaitwa Subversion.
Subversion ni kinyume cha Propaganda ila sio taarifa ya uwongoMaana yake nini