Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Egypt was the place that Alexander the Great went
He was so shocked at the mountains with black faces
Shot up they nose to impose what basically
Still goes on today, you see?
If the truth is told, the youth can grow
Ila kama kweli why wavunje pua za yake masanamu
 
Mnafuatilia documentary za ujenzi wa pyramids kutoka kwa hao washenzi wazungu/waarabu alafu mnategemea wawaambie ukweli kuhusu ujenzi wa hayo mambo?

Iko wazi Afrika ni makao ya watu weusi tangu zamani, na kabla hata uvamizi wa watu weupe Afrika ilikuwa ya mtu mweusi, so hata majengo yaliyopo yalijengwa na black people, hapo hakuna aliens wala TAKATAKA mnazoaminishwa za akina anunnak sijui vitu gani, havipo hivyo ni stories tu wanatumia kuficha ukweli na ukuu wa black people.

Suala ni kuwa wazungu walishindwa na wameshindwa kuiba hiyo technology basi wanabaki kudanganya uhalisia hawataki kusema ukweli wala kumpa credit mtu mweusi kwa kufanya maajabu ambayo hawatowai kuyafanya.

Narudia Tena acheni kudanganywa na hizo documentary za kipuuzi huko YouTube zinazowapa elimu ya uongo kuhusu Maajabu ya mali za Afrika, Kila ukionacho kimefanywa kwa mikono ya mtu, hapo hakuna miujiza wala Nini,

Aliens hawapo na hawatowai kuwepo, ndiomaana hata ushahidi wa uwepo wao haupo zaidi ya uzushi, Kuna mengi wanafichaficha kuhusu technology ya pyramids kuwa hayakutumika kama makaburi wala hifadhi ya wafu, Bali chanzo cha nishati ya umeme na mwanga bila kutegemea power generation through fuels/natural sources, hili hamtaambiwa.

Ukitaka kuamini kuwa pyramids ni ujenzi wa mtu mweusi tizama majengo yote ya watu weusi Afrika nzima yanafanania na umbo la pembe tatu juu, iwe kijengo cha nyasi, kilinge cha matabibu ya tiba za asili umbo lake la paa huwa na ama mfanano wa pembe tatu the same to pyramids.

Babu zetu waliyajua haya mambo lkn bahati nzuri hawakuigawa wala kuvujisha technology hii japo mengi sana waliyavujisha ambayo hivi Sasa mnaaminishwa kuwa ni wazungu ndie wameyagundua, kumbe mijizi mitupu.

Hakuna jipya duniani, Kila jambo ni marudio wa yaliyopita.
 
Naamini katika aliens, ni viumbe vyenye akili sana. Nasikia hata haya mataifa yaliyoendelea kiteknologia wanawatumia kwa siri.
Aliens mmeshawai kuwaona? Na kwanini waende kwa wazungu tu na si sehemu nyingine hapa dunian? acheni kulishwa uongo, dunia ni makazi ya watu,mimea na wanyama tu, aliens hawapo..
 
Kuuliza si ujinga hivi hump ndani ya pyramid papo kama nyumba au?View attachment 3190677
kukuelezea kwa maneno itakuwa tabu nenda YouTube zipo video nyingi tu na pia Google uone ramani ndani ya pyramid zilivyo!, kwa jindi ramani zake zilivyo sisiti kusema hayakuwa majengo kwaajili ya makazi!.
Na je hizo pyramids zina ukubwa kiasi gani (urefu na upana)?

Naomba kuungana nawe kuuliza pia.
uki Google taarifa zote zipo mkuu ila nachojua giza pyramid inaukubwa kama wa kiwanja cha mpira!, urefu kwenda juu nishasahau
 
Unaposema kwamba hii teknolojia ilikuwa ya mtu mweusi mbona haijaendelezwa..?
we huoni kama ni sawa na kujipaka mafuta kwa mgongo wachupa..?
kama wakati huo tulikuwa na utaalamu huo iweje sasahivi tusiwe hivyo..?

Mkuu kuhusu aliens ama viumbe nje na sayari yetu ukiwa mtu unaefatilia sayansi ya anga vyema ni ngumu kusema tupo peke yetu!.
sijui kama aliens wapo ama annunaki ila kunauwezekano mkubwa wakuwepo viumbe zaidi!.

ushahidi wa kutazama mapaa tunavyojenga hauleti mantiki sana!, kwanza hatujengi hivyo pekee yetu na sababu yakujengwa hivyo ni kiswababu ya mvua, ama kitu kinachotokea juu kisituame juu ya nyumba.

Napata mashaka makubwa sana na watu wanaosema uwezo wa muafrika kwenye haya mambo!!. kwasababu sioni hata hizo teknolojia ziliishia wapi zaidi yakusema tuliibiwa!, maarifa ama ujuzi ukiibwa ni ngumu sana kumshinda aliekutangulia!.
 
Yaani akili ndogo ya mzungu ya kipindi hicho ikaizidi akili kubwa ya mtu mweusi??
I don't buy this, yaani ni sawa leo hii Tz ikaipore rasilimali US hivi inaingia akilini kweli???

Hiyo tech ya hali ya juu iliwasaidia nini watu weusi wa wakati huo??
 
Hapo nimekupata vizuri, kumbe ni midude. Maana ukiona kwa picha vinaonekana vidogo tu.

Nafanya mpango nikazione live hapo Misri.
 
Yaani akili ndogo ya mzungu ya kipindi hicho ikaizidi akili kubwa ya mtu mweusi??
I don't buy this, yaani ni sawa leo hii Tz ikaipore rasilimali US hivi inaingia akilini kweli???

Hiyo tech ya hali ya juu iliwasaidia nini watu weusi wa wakati huo??
eti hata mi mwenyewe hili nalitupa kwenye dust bin!..🀣
 
eti hata mi mwenyewe hili nalitupa kwenye dust bin!..🀣
Sijui huwa wanasoma vinini hawa wati vinavyofanya waamini mtu mweusi alikua imara enzi hizo na mzungu akaja kuwaibia, sijui kuwanyonya na kuipoteza historia yao. Wakati huohuo wanasema walimzidi maarifa mzungu na wao ndio waliostaarabika sasa sijui ustaarabu ukapotelea wapi.

Mbaya zaidi hatuna vithibitishi vya hayo makubwa ya mtu mweusi.
Wenzetu China, India , Japan pamoja na kutaliwa na mavita kibao bado wana vitu asili vya miaka hiyo vinatumika mpakd kesho.

Ila sisi kama hapa Tz yamejaa magofu tu, nyumba za mkoloni tu za juzi nyingi ni magofu.
 
acha tu mkuu ni aibu kusimulia..πŸ˜…
 
Yaani akili ndogo ya mzungu ya kipindi hicho ikaizidi akili kubwa ya mtu mweusi??
I don't buy this, yaani ni sawa leo hii Tz ikaipore rasilimali US hivi inaingia akilini kweli???

Hiyo tech ya hali ya juu iliwasaidia nini watu weusi wa wakati huo??
One of the generation brain washed,
Navofaham mm watata wengi hufanya utata kwenye vitu wasivokuwa na idea navyo ok in shot ni ivii in terms of Art medicine, mathematics na maswala ya astronomy yani Unajim africans walikuwa juu kumshinda hata huyo zeruzeru unayemtukuza ambae hawez hata kustahimili jua bila kupaka skincare ila Black anaweza kustahmili jua kwa masaaa zaid,
Back to the point hebu jarib kukumgoogel MANSA MUSA tajiri wa Mali Empire alie sumbua dunia kwa utajiri ambao hata aliko Dangote au huyo bilionea wa dunia hamfikii, ukiachilia mbali the richest man in Babylon
Tujaribu tuwe tunasoma vitabu kidgo kupanu Medula zetu tusiwe tunakurupuka kama watu walioamshwa kutoka usingizin.....
 
Hakuna maajabu ni kama mkibosho aliyesahau tuu namna ya kutengeneza mtego wa fuko au rimbi
 
Hii ndio shida ya wengi wenu mnaoamini mtu mweusi alikua bora zaidi ya races nyingine.
Huyo Mansa Musa huwezi kumfananisha na Elon Musk kwangu mimi Elon ni the best aliefanikiwa kwenye dunia yenye nyingi changamoto na a lot of competitors, matajiri wengi, rasilimali chache na a lot of elites wanaoweza kukosoa mawazo yako and mind you Elon sio kiongozi wa kisiasa/kidini.

Mkuu hatutukuzi watu weupe, andika ukweli ukishirikisha ubongo wako. Race nyeusi kuna mahali tunafeli nayo ni kukubali mapungufu yetu na kuyafanyia kazi. Badala yake sisi tunatupa lawama kwa watu weupe ati wao ndio sababu ya sisi kua hivi.

Ukiachana na hao kina Mansa Musa, kanda yetu hii ya Afrika mashariki na kati tuna jambo gani la kuthibitisha tulikua juu zaidi ya mzungu??

Hoja zenu mkiwa mnaitetea race hii mnabase sehemu ambazo sio zenu, Ethiopia, Misri na huko Aftika magharibi na kaskazini...
Ninyi wasukuma, waha, wafipa, wanyakyusa, wagogo, wamasai, wamang'ati , wahehe and the like kabla ya mkoloni mlikua wapi na mnafanya nini????
Mtakuja na hoja kua mmetoka huko kaskazini mkaja huku chini, je hamkuja na technolojia??
 
Tatizo baba yangu lilianzia hapa


Hii Libary iliungua kwa bahati mbaya wakati wa kampeni za Jullius Kaiza, na hapo ndiyo knowledge yote iliyotumika kwenye teknoloji iliyokuwepo duniani kipindi hicho ilipopotea

Vinginevyo kama Library hiyo isingeungua mufa huu tungekuwa tumeshahamia hata kwenye Sayari ya Mars, au YESU angekuwa amesharudi
 
Nenda Iringa utakuta viwanda vya kufua vyuma vilivyoachwa na mababu zetu
 
Kuna watu brainwashed humu wanakaza fuvu afu source ya taarifa zao ni google na YouTube documentary za mabrainwasher, acheni uvivu someni vitabu mpate maarifa huko YouTube watu wanatafuta viewers tu mwisho wa mwezi wale commission.

Kiufupi ukubali ukatae usimame ukae pyramids zilijengwa na black Africans period

Mambo ya kwanini sasa hivi hiyo technology haipo sio swali la kukujibu kwa comment Moja hapa Jf.
Kama kweli hii kitu inakusumbua na unahitaji kuujua ukweli zama maktaba jisomee acheni uvivu wa kutafuniwa ndio maana mnalishwa matango pori

Kwa kukusaidia tafuta kitabu Cha Prof. Cheikh Anta Diop kinaitwa 'Africa the Mother of First Civilization'
Ukitaka kwenda deep tafuta Egypt Chronological ujue vipindi vya utawala wa Egypt enzi hizo inaitwa Khem au Kham ikusaidie kuona mabadiliko ya utawala na kupitia mabadiliko ya hizo era ndio jinsi hiyo technology ilikuwa ikipotea au kufifia kutoka era Moja kwenda nyingine,

Ila ukitaka kuzama zaidi kuhusu Pyramid, kitu ambacho nisingekushauri maana utaishia kuziona dini za baba na mama Yako ni kama matapishi ya juzi, kwa kuwa wale jamaa hawakutenganisha science na dini, Science na dini kilikuwa ni kitu kimoja yaani Spiritual na hata hizo pyramid ni spiritual figure kuta zake zimesheheni spiritual symbology hivyo pyramid zilitumika both scientifically and spiritually kiufupi wale jamaa walikuwa spiritual beings lived on earth kwa ulimwengu wa kisasa tungeita wachawi au witchcraft ila ndo watu waliokuwa na uelewa mpana kuhusu uwepo wa Mungu kuliko dini yoyote Ile kwa Sasa, hii tuachane nayo

Ukiachana na founders ambao walikuwa ni black Africans utawala wa Misri ilikuwa ukianguka na kurudi kutokana na uvamizi wa tawala mbalimbali kama vile Greeks, Persian, Rome ambao walikuta pyramid zishasimama na hizi uvamizi ndizo zimechangia kuporomoka mwisho wa siku kutoweka kwa hii technology ya blacks, kwani kadiri uvamizi zilivyokuwa zinazidi blacks walikimbilia kusini mwa jangwa la Sahara by the way black Africans toka zamani hakuwa violent kipindi alipokuwa na kila kitu, violence kajifunza kwa hawa wavamizi White people they were brutal violent species ever seen,
Hivyo kitambo hicho wavamizi hao walikuwa wanafanya case study tu ila wenye elimu yao walishatoweka.
Waarabu wa Misri wamekuja juzijuzi tu wamekuta pyramid zishakuwa magofu.

Knowledge is power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…