Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Hao ndo wajenz sasa,ila swali linabak waliwezaje!?
Kwa kweli hilo ndio a million dollar question
Na watu vichwa vimewauma haswa

Mimi ni mtu wa kufuatilia sana vitu vya kale
Siku moja nikajiwazia tu nikajisemea hivi nikizika kichwa cha farasi na kiwiliwili cha mbuni halafu baada ya miaka 100 archeologist wakavumbua si watachanganyikiwa sana πŸ˜„ 🀣
Sasa ndio haya ya pyramids kila leo tunaambiwa majibu tofauti
 
Hizo za misri ni za zamani sana na pia ni kubwa kuliko hizo zingine
Pia kuna historia kubwa hapo kuanzia firauni
Yaani mpaka kwenye vitabu vya dini yumo
Nafikiri ndio sababu kubwa
Asante
Vip kwa upande wako unasemaje kuhusu wajengaji wa hizo pyramid unafikir wanaweza kuwa binadamu wa kawaida? Ukizingatia ukubwa jinsi yalivyochongwa na uzito wa yale mawe binadamu sisi tunaweza yainua?
 
Asante
Vip kwa upande wako unasemaje kuhusu wajengaji wa hizo pyramid unafikir wanaweza kuwa binadamu wa kawaida? Ukizingatia ukubwa jinsi yalivyochongwa na uzito wa yale mawe binadamu sisi tunaweza yainua?
Hao watu wa zamani kweli walikuwa na ujuzi na uwezo mkubwa sana
Na ujenzi wa miji mingi sana duniani wamejenga kwa muda mrefu sana

Ukiangalia hata Inca Empire na huko Machu Pichu walivyojenga ni maajabu sana
Unajua watu wa zamani walikuwa na subra sana yaani wanaweza kujenga kitu kwa miaka hata Hamsini
Sasa sisi leo jengo linajengwa kwa miezi tu

Wao walijenga to last
Leo tunashuhudia majengo ya miaka na miaka na bado yana thamani na mazuri pia

Nilienda mji mmoja Uingereza kuna kanisa moja Gloucester lina miaka 1000 nilishangaa sana
Sasa fikiria lilijengwa kwa mda gani hilo ili likae miaka yote hii

Nafikiri na hawa watu labda walijenga pyramids kwa miaka mingi sana na sio mda mchache
 
Mim nafikir kanisa katoliki lina majibu ya haya yote
Ukiangalia makanisa mengi ya hapo zaman yamejengwa kwa mfumo ambao hauwezekaniki kwa sasa
Angalia hayo makanisa kizungu mkuti
 

Attachments

  • 20250103_205330.jpg
    1.1 MB · Views: 10
  • 20250103_205425.jpg
    993.6 KB · Views: 9
Mim nafikir kanisa katoliki lina majibu ya haya yote
Ukiangalia makanisa mengi ya hapo zaman yamejengwa kwa mfumo ambao hauwezekaniki kwa sasa
Angalia hayo makanisa kizungu mkuti
Medieval structures
Sijui kwanini hatujengi kama hizo tena
Unajua bei za nyumba za zamani ni ghali sana kuliko mpya ( kwa ulaya lakini)
Nilipokuja Ulaya nilikuwa nayashangaa sana kwa ukubwa wa majengo na mengine unasema kweli ukisikia Mason basi hao ndio walikuwa wajenzi wa kweli
 
Wat
Tell them brother at least we speack the same language huyu mtu anaejiita Vishu Mtata medula yake imekula moshi mwingi i wish angevua hio miwan yake asome vzr kutanua medula yake..
 
Hakuna Humanoid Homo Sapiens yeyote alijenga Pyramids kwanza race ya Wanadamu imekuja Duniani juzi juzi tu,
Anunnak chronicles
Jamii za Anunnak yaani An na Igigi,Sirians pamoja na Reptilian kama Draconian, Zetas Leticul andromedan,Pradeian ndio Race za mwanzo kuweka tawala na kujenga sayari nyingi tangu Mabillion ya miaka iliyopita,
Dunia ilikaliwa na hizo race zote hapo mwanzo na wote waliacha ustaarabu na kuanzisha maisha na civilization mpya kabisa wakifanya cloning za viumbe mbali mbali ikiwemo Humanoid,
Anunnak ndio wajenzi wa Pyramids zote na matemple around the World kuanzia misri, Mexico,india,Sri lanka middle east na sehemu nyingine nyingi,

Nawapa pole sana wanaodai Pharaoh dynasty ndio walijenga pyramids yaani kiufupi Pyramids zinaexist miaka mingi kuliko historia ya Mwanadamu wa kawaida
Kumbuka sisi ni clone ya Anunnak wao ni giant and intelligent ever
Hebu angalia huu mchoro wa goddess Neftit kwa umakini then jilinganishe na wewe mmatumbi uone kama unamfanano na hao viumbe
Kusoma hamjui hata picha
We ulisikia wapi binadamu tupo kama hivi?
Pumbaf...
😁😁
πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • firstgodaeon_1.jpg
    857.1 KB · Views: 7
  • 100310-pharaoh-vmed-926a.jpg
    848 KB · Views: 12
  • 55.153_PS2.jpg
    43.1 KB · Views: 11
  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 6
Wat


Tell them brother at least we speack the same language huyu mtu anaejiita Vishu Mtata medula yake imekula moshi mwingi i wish angevua hio miwan yake asome vzr kutanua medula yake..
Mna picha au uthibitisho wowote kua pua ilikua ni ya mtu mweusi??

Mnasema sisi ni brain washed ila hamuwezi kubadili hili kama mna ushahidi wa kuungaunga.

Huko Italy wenzenu wana barabara inayotumika mpaka leo toka kabla ya Yesu, hii hapa



Huko Arabuni wana Mecca, Madinna mpaka leo miji ipo, watu wanaenda hijji huko miaka na mikaka.

Historia yao imetunzwa, vizazi vinarithishwa mpaka leo na ndio hizo zinazosomwa huku kwetu.
Sisi yetu iko wapi?? Vithibitisho viko wapi??

Mkuu basi na wewe usiwe mchoyo wa maarifa, weka link za vitabu hapa.
Unatuita brain washed na hutaki kuibadili jamii yako, si ajabu ndivyo tulivyokua toka zamani.
 
Africa mashariki aligundulika binadamu wa kale sasa sijui alifikaje huku mitaa ya akili ndogo
I
 
Mfano hizo pyramid za Giza zingekuwa ugiriki, italy au middle east sidhani kama ishu ingekuwa kubwa ya nani aliyajengwa ila kwa kuwa yapo afrika bara la watu wanaonekana hawana akili wajinga, ishu inakuwa kubwa wanaanza kuja na theory nyingi ili ionekane muafrika hawezi kujenga majengo kama yale
 
Nalo nenoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…