Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Hizo pyramids za Egypt ni Cha Mtoto, Hivi umewahi kusikia habari za mnara wa Babeli? Ulijengwa mnara mrefu karibu ufike mbinguni, mpk Mungu akashuka kuwaharibia lkn walikuwa washayapita mawingu.

So watu wa zamani walikuwa na akili sana na uwezo mkubwa kuliko sasa
 
Hakuna Mzungu,mwafrica wala mwindonesia aliyejenga pyramids kumbuka hayo madude yapo around the World vipi zile za MesoAmerica na matemple ya India,Sri lanka,Cambodia alijenga mwafrica gani?
Wengi wanadhani hizo site zipo misri tu hapana hizo ni sites chache Kati ya nyingi zinazo patikana Around the World na ukiangalia muundo wake wa ujenzi ni High advanced Mathematics beyond human thinking capacity imetumika kuyasanifu,

Nilibahatika kufika Kailasa temple Ellora Maharashtra India nilicho kishuhudia nilipiga na butwaa kubwa
Yaani Single granite rock imechongwa kwa kutumia vifaa sharpen ambavyo leo hatujagundua bado means ni kama vifaa vya Mionzi yaani Racer tools vinahusika pale ile tech Sio ya Dunia hii akili unasimama,
Wahindi wenyewe hawana documents zozote zinazoonesha binadamu wa kawaida alijenga ila wanadai Mfalme Rastrakuta alimjengea mungu shiva ila kiuhalisia hilo temple lina miaka mingi kuliko kumbukumbu za historia zao!
 
Kuna vile " Vimanas" vilivyo elezwa kwenye zile ancient tablet za kihindi kwamba pushpak ramayan alikuwa akitumia kama usafiri ukiviangalia vimefanana na space ship
 
Basi sisi hamna kitu mkuu.
Kama tungekuwa na uwezo basi hiyo mikakati waliyoweka wazungu ili kutudidimiza tungeitegua kuthibitisha tuna uwezo kuliko wao
 
Mungu Alishuka kuwaharibia?
Kumbe Mungu anakuwa na hofu? Aliogopa nini mpaka akashuka awaharibie?
 
Una uhakika kuwa iliungua moto? Tumia neno, " INASEMEKANA...."
 
Ancient Egypt.... Egyptian's....... the first people to be civilized in the world. Wako na historia ndefu sana hao wamisri.

Ukikaa na baadhi ya wanamichezo (hususani wachezaji wa soka) wanakuambia huwa wakienda kucheza pale Misri, wamisri katika kupiga stories wanasema "Timu ya waafrika imekuja", kwamba wao (wamisri) hawajioni kama waafrika 😀. Wanaamini kwamba wakati wa kumegeka kwa mabara (Pangea) ilitokea bahati mbaya tu nchi yao (Misri) ikamegekea barani Afrika.
 
lakini mbona kama wao walivamia tu lile eneo! au sisi ndo tulivamia..?😅
 
Sana. Unaweza kusoma kitabu fulani kinaeleza hivi, halafu ukasoma kitabu kingine kinaeleza vile, wakati ni jambo lilelile unabaki kujiuliza hii ni nini.
Muda mwengine hywa nikikaa nafikiri sisi ni kama mmea, tumepandwa tunaota tu! sio kazi yetu kujua alietupanda katupanda kwaajili yanini na ndio maana hatuna majibu!! lakini akili inakataa maana nikifikiri kitendo chakuwa na hulka ya kutaka kujua kwanini tayari kinaonyesha tunaweza kuwapata majibu!.
Pia kuna mambo yakipuuzi yaliyokuwa yanaendelea huko nyuma ndio yanatutafuna sasa!, tungekuwa na maendeleo kushinda hapa tulipo sema baadhi ya mapokeo yanatuchelesha, mila na desturi fulani fulani zinatakiwa zifutike kwenye kichwa cha binadamu.
 
💯 % Sahihi
 
Hizo akili zilienda wapi? Mpaka sasa tumevumbua vitu gani? Watu wanataka hoja wewe unaleta vioja. Anakuuliza unaleta habari za zeruzeru,sijui jua na a lot of bullshit. Ni ishara ya kupaniki na kushindwa hoja.

Hizo akili zilipotelea wapi?asilimia 90 ya vitu tunavyotumia kwa sasa vimebuniwa au gunduliwa na wageni. Nyie mnabaki kusema mlijenga pyramids. Then what?mkiulizwa mna paniki. Utajiri wa Mansa umeendeleaje kwa sasa? Jamii yake ni tajiri kiasi gani duniani?

Jibu bila kupaniki. Jibu kwa fact. Simu unayotumia,internet,comp etc ni kazi za mtu mweupe. Wewe unabuni tu style za kutiana... Mtu mweusi hana mchango wa maana duniani. Magari,ndege,umeme etc ni mtu mweupe. Hapo ulipo asilimia zaidi ya 90 ya unavyotumia na kula ni matokeo ya kazi ya mtu mweupe. Ametia mkono wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…