Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

BM X6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2020
Posts
1,376
Reaction score
4,222
Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa

1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi

2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu

We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?
IMG_20220609_225317.jpg
 
Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa

1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi

2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu

We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?View attachment 2256011
Jumba Hil lote alfu nitoke madaraknkwa amani
 
Ni kweli mkuu huwa tunauwawa na kuzikwa hapo getini labda tumuulize popoma GENTAMYCINE wao kule Rwanda wanafanywaje
Ninachojua ni kwamba kwa Kawaida 85% ya Wanaokuwa wanajenga Ikulu huwa wanatokea katika Construction Wings za Taasisi Nyeti kama za Usalama na Majeshi ambao tayari wanakuwa wameshapikwa Kimaadili na Miiko ya Kazi na Viapo vyao, hivyo huwa ni ngumu sana Kusaliti au Kuuwawa kama usemavyo kwani hata kuwepo Kwao hapo katika Ujenzi pia huwa wanakuwa wapo Kazini vile vile.

Huu ni Uelewa wangu tu ila hata hivyo tuwaachie wenye Kazi zao hizo akina adriz waje watiririke na waserereke zaidi Mkuu.
 
Upuuzi jaaz band yaani vijana wooote wale wa JKT wauliwe kisa Ikulu kwani ikulu ni mbinguni? acheni uboya nyie ndio mnaamini matambiko ooh sijui wanachinja zeruzeru sijui takataka gani, hizi ni fiktra za kimasikini sana, kwa taaridfa yako nchio nyingine wanajengewa ikulu zao na wachina sasa sijui nao wakimaliza wanauna.
 
yaani story ziko hivyo kwamba.

anayekimbiza mwenge lazima afe hakai siku nyingia

anayeweka msalaba pale juu ya mnara wa kanisa nayeye huwa anakufa tena kwa kuanguka vibaya,labda wawe wamerekebisha tayari.

na hawa wajenzi wa ikulu nao.
sema dunia ndogo sana hii sio ya kubisha kila kitu au kukataa kila kitu.
 
Back
Top Bottom