Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Kiswahiki cha kongo na cha kirundi nakipenda sana .
Kongo 908 unasikia akisema makumi kenda na nane.
 
Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Bila kutusahau wenye nchi WASUKUMA 😁😁😁
Mhola ginehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…