Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Unajua ukikutana na mpemba wa huko ukojani,akiongea huwezi muelewa,Wana lafudhi mbaya,mie siwaelewagi wallah,
 
Ila ukweli usemwe tuu wanawake wachaga wanaongeaga kiromantiki sana ila kitandani zero,
. Watanga ndo usisema sana, wanakosa kuanzia kuongea mpk maufundi kitandani
 
Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila yaliopo Tanzania japo kuna makabila hayana lafudhi
Mimi binafsi napenda lafudhi ya wachaga umkute akitaja MARANGU
SHARE:
Kinyamwezi na Kisukuma.
 
Napenda lafudhi ya lugha yangu. Kisukuma ni tunaongea taratibu na kwa vituo na msisitizo....
Ukiweza kukiongea hukichoki
Mnaongea kwa vituo nyie? 😹😹
Mnaongea Kama mnaswaga ng’ombe malishoni..!! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…