Aisee umenifanya kufikiri nje ya box.Mwenzio kafutiwa uzi uliofikisha comments 32 kwa picha hii.
Wakati Maxence anapewa tuzo New York kwa sababu ya JF kusimamia ukweli na uwazi katika habari.
Kabisa mkuu..watu wanataka tu kupata likes mkuu..sawa mwananchi "hulu"Wakati mwingine watu ni kama hua mnakosa kazi tu ya kufanya na kupoteza muda,yamkini wewe ni fisadi unaogopa, Rais kuvaa gwanda shida iko wapi,sisi tunajua ni Rais wetu huyu huyu wala hakuna shida yoyote,kweni nguo zina nini? mkija humu na kuanza kusema sema serikali mnajikuta mnapata zile comment nyingi za wasioelewa na mnaona ni kama sifa,miki hapa ni mwananchi hulu kama wanachi wengine na sioni shida ya Rais kuvaa gwanda
Nn hivi unakomaza misuli ya vidole kisa nn lkn? Hebu tuache bhanaaa kwanza akivaa afu akasema hivi
View attachment 1267972
Kwani Jeshi la juu kabisa ni lipi, Au zima moto na JW wako sawa!View attachment 1267903
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha.
Aisee umenifanya kufikiri nje ya box.
Hivi kosa ni la mtu kuijadili statement aliyoitoa rais ama ni rais kutoa statement ambayo ni ya udhalilishaji kwa raia? Oòps hebu niendelee kunyonyesha manake kibali cha kufyatua tayari nlishapewa. Nimefyatua na next yr nafyatua tena
Kiranga aka mtoto wa upangaMwenzio kafutiwa uzi uliofikisha comments 32 kwa picha hii.
Wakati Maxence anapewa tuzo New York kwa sababu ya JF kusimamia ukweli na uwazi katika habari.
Hivi kweli NN itv wanaweza kumuekea manebo mdomoni? Infact i was so shocked why did they have to put it at first place? Wasinge hapaHmmm hayo maneno kayasema kweli? Hususan hayo ya mwisho?
Isije kuwa kama Mzee Mugabe alivyokuwa anawekewa kila aina ya maneno mdomoni....
Ngabu aka mzee Wa new york
Ilisikiaga kauli ya JWTZ lakini waliyoitoaga
Kuhusu Rais kuvaa vazi la kijedah!
Ova
NN hivi ITV wanaweza kweli kumuekea maneno mdomoni? Infact i was so shocked why did they have to quote him at first place? The statement has gone viral. But nimecheka sanaa. Na ka clip sijui nakaekaje lolHmmm hayo maneno kayasema kweli? Hususan hayo ya mwisho?
Isije kuwa kama Mzee Mugabe alivyokuwa anawekewa kila aina ya maneno mdomoni....
Weee hivi ukae huko huko marekani usirudi bongo. Bongo marufuku kwa mwanaume kunyonya maziwa ya mtoto. Onyo lilishatolewa. Hivyo mume anaishi ndani ya onyo. Maziwa ni ya mtoto. Kwa mujibu wa katibu wa lishe Tanzania.Heheheee....unmnyonyesha nani? Mumeo?
Hahahaaa natania tu bana. Nilikuwa najaribu kuwa Rais Magufuli 🤣
Hata akitaka kuvaa kibwaya cha Kibisa anaruhusiwa.Kiranga aka mtoto wa upanga
Mbona Kuna wakati jeshi Waliwahi kutoa tamko kuhusu hili la Rais kuvaa Mavazi ya kijeshi
Kuna kanali mmoja nlimskia anasema, RAIS ndiyo amiri jeshi mkuu, Mavazi yote yake, vyeo vyote vyake "akitaka hata Leo aombe abandikwe cheo cha ufield Marshall yeye tu"
Basi kwa kauli hiyo ya JWTZ Miki nkabaki mdogo tu
Ova
Avae hayo magwanda ili iweje? Mpate sababu mpya za kumnanga au?
Manake si kwamba akivaa sare za Magereza mtakuja hapa na kuanza kumpongeza....
Sanasana mtakuja na kuendeleza yale yale...’oh oneni huyu, sasa anavaa na sare za Magereza. Kaona zile za jeshi hazitoshi. Sasa anataka kuwa kamishna wa Magereza’
Tokeni hapa na unafiki wenu!
Walisema Sawa tu maana yeye ndiyo amiri jeshi mkuu, vyeo vyote vyake, Mavazi yote yakeNah...walisemaje?
Jeshi la wananchi wa Tanzania ndio Jeshi mama la nchi hii na majeshi yote uliyoyataja yanawajibika kwa JWTZ ambalo, Amiri Jeshi wake mkuu kwa sasa ni Rais aliyeko madarakani. Rais John Pombe Magufuli kuvaa sare za kijeshi kwa nafasi yake ni sahihi kabisa... Labda kama una agenda nyingine.Kama ni suala la kikatiba tufafanulie mkuu , kuuliza ni kutaka kujua tu .