bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Huwa kuna kikosi cha ujangiri kwenye mapori ya uhifadhi wanaitwa Game. Ni military forces wanakuwa trained mafunzo ya kijeshi kama nyongeza wanasoma zaidi ikolojia na uhifadhi.Umesema vyema. Lakini pia, wanapata wapi hii dhana ya uwakilishi kwenye combat dress?