Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kama Kawaida Taarifa za kikachero nilizopokea jana ni kuwa nimsogeze kijana wangu mkoa X ajiandae kuingia JW na taarifa hizi nimepewa na KANALI hivyo ni kuonesha kweli soon JW wanamwaga ajira soon
 
Mkoa gani kama sio pwani🤣🤣
 
Usaili ulishaisha zimefanyika ndan kwa ndan kwa walioko makambinii mwisho wa usaili ilikua jipii
 
hum hamn mweny lonja la uhakika kila mtu anasem lake
 
Inaweza kuwa kweli hapo Ila ninachojua mimi kwa sasa Military science waliopo rts wapo poli wanaenda kuuwa wiki ya pili wakimaliza wanarud wanajiandaa kuapa wanapeperuka
 
Usaili ulishaisha zimefanyika ndan kwa ndan kwa walioko makambinii mwisho wa usaili ilikua jipii
Huu ni uongo mpaka jana kuna kambi X ilikuwa inafanya usahili wa siri siri ambao tunaita uhakiki kwaiyo mwisho wa mwezi watu wanaanza kupanda kule T
 
hivi wakifanyiwa usaili makambini inamaana wanamaliza kila kitu hadi vipimo au wakifika tena kule RTS wanafanyiwa tena usaili pamoja na vipimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…