SKYWALKER_201
Member
- Sep 27, 2022
- 41
- 23
Kijana hata deadline haijafika ,kama umekidhi vigezo
Mwanangu unautaka kichizi. Tangazo toka litangazwe leo siku ya tano tu! Yan hapo kuanza kuitwa kuanzia tarehe 20 hiyo
naomba kuuliza mkuu ivii kama una mmbanga ni details ghn za msingi ambazo anapaswa kuchukua kutok kwako maana kuna mdogwangu ameambiwa atume Majina na barua tu alafu akaambiwe atume maombi kama walivo elekez ili iwe kama referenceMwanangu unautaka kichizi. Tangazo toka litangazwe leo siku ya tano tu! Yan hapo kuanza kuitwa kuanzia tarehe 20 hiyo
Fuata maelekezo hayo hayo ya mbanga wako wengne wanaambiwa tu andaa vyeti ila saizi leta majina tu na anaondoka ivo msikilize mbanga wakonaomba kuuliza mkuu ivii kama una mmbanga ni details ghn za msingi ambazo anapaswa kuchukua kutok kwako maana kuna mdogwangu ameambiwa atume Majina na barua tu alafu akaambiwe atume maombi kama walivo elekez ili iwe kama reference
Muache auponze tu ila akifika Ataanza kuomba poo yeye mwenyewMwanangu unautaka kichizi. Tangazo toka litangazwe leo siku ya tano tu! Yan hapo kuanza kuitwa kuanzia tarehe 20 hiyo
bless kamanda 💪Fuata maelekezo hayo hayo ya mbanga wako wengne wanaambiwa tu andaa vyeti ila saizi leta majina tu na anaondoka ivo msikilize mbanga wako
Kuna mbanga wengjne unapeleka jina tu, namba ya simu na namba ya nida basi.naomba kuuliza mkuu ivii kama una mmbanga ni details ghn za msingi ambazo anapaswa kuchukua kutok kwako maana kuna mdogwangu ameambiwa atume Majina na barua tu alafu akaambiwe atume maombi kama walivo elekez ili iwe kama reference
Mwambie kama yupo mbali atume kwa EMS Ili reference iwahi kufikanaomba kuuliza mkuu ivii kama una mmbanga ni details ghn za msingi ambazo anapaswa kuchukua kutok kwako maana kuna mdogwangu ameambiwa atume Majina na barua tu alafu akaambiwe atume maombi kama walivo elekez ili iwe kama reference
Oaa mkuu siunajua tena watu tunataka ile mama Tipidiiiiii😂😂Mwanangu unautaka kichizi. Tangazo toka litangazwe leo siku ya tano tu! Yan hapo kuanza kuitwa kuanzia tarehe 20 hiyo
Muache auponze tu ila akifika Ataanza kuomba poo yeye mwenyew
ukute anapiganisha hana jakata sasaMwambie kama yupo mbali atume kwa EMS Ili reference iwahi kufika
Au sio?Oaa mkuu siunajua tena watu tunataka ile mama Tipidiiiiii😂😂
Jamaa karusha shoo jasho chapaUyu Dj Ally B hela yake wamuongezee na chochote kitu hii burudani sio ya hela ndogo[emoji2][emoji2]
Mzee una uhakika shoo shoo mana najiona niko vizur nisije nikambwela. Nakimbia km 7 kila dei maji ya kutosha pushup mpaka natijioneal hurumaMuache auponze tu ila akifika Ataanza kuomba poo yeye mwenyew
Hahahahah BILA KUCHOKA no kutia hurumaMzee una uhakika shoo shoo mana najiona niko vizur nisije nikambwela. Namibia km 7 kila dei maji ya kutosha pushup mpaka national huruma
Sho shoo Mjuba now ungekuwa unakunywa tu maji hizo pushapu mbwembwe tu 😂😂Mzee una uhakika shoo shoo mana najiona niko vizur nisije nikambwela. Nakimbia km 7 kila dei maji ya kutosha pushup mpaka natijioneal huruma
Mkuu Koz ya RTS haina rehearsal usfanye hayo mazoezi kwamba ndo rehearsal ya kujiandaa na koz we fanya kwa faida yako tu kule lazma ule kazi ya maana.Mzee una uhakika shoo shoo mana najiona niko vizur nisije nikambwela. Nakimbia km 7 kila dei maji ya kutosha pushup mpaka natijioneal huruma
Au niongeze msosi nisije kupata nyongea?. Kuna moja nilionaga video wameruka kichura characters mpak bidada analia na mmoja kazima kazima anapepewaMkuu Koz ya RTS haina rehearsal usfanye hayo mazoezi kwamba ndo rehearsal ya kujiandaa na koz we fanya kwa faida yako tu kule lazma ule kazi ya maana.
Buku 9Ems,dar hadi dodoma malipo sh ngapi wakuu.
Dadeq wamenambia 12k.Buku 9
Lipia tu mazee Muda unakwenda Sana afu kwani Dar ukiachana na ofisi zao zilizopo airport nyngne ziko wapi??Dadeq wamenambia 12k.