Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ifikie kipindi watu muache kutishana huku kuna watu mna uzoefu wa kuomba nafasi katika majeshi mbalimbali uhamiaji, magereza etc sasa umetumia anuani ya makao makuu majibu wawaletee kwenye sms kiholela hakuna hicho kitu

Lazima utoke mkeka acheni kutishwa
 
Hakuna mkeka ndiomana uliombwa namba ya simu.. mwaka jana mwezi wa tatu walituma maombi pia uliona kuna mkeka wowote Hakuna anaemtisha mtu ila uhalisia ndio ulivo subiri kwenye mwezi wa tatu utaona kwa millardayo vijana 3500 wahitimu mafunzo ya awali
 
Ifikie kipindi watu muache kutishana huku kuna watu mna uzoefu wa kuomba nafasi katika majeshi mbalimbali uhamiaji, magereza etc sasa umetumia anuani ya makao makuu majibu wawaletee kwenye sms kiholela hakuna hicho kitu

Lazima utoke mkeka acheni kutishwa
Hahaha yaaan kwamb PDF iandaliwe kwaajili ya nani Afande haha ni mwendo wa simu tu hakuna PDF apo mzee
 
Back
Top Bottom