Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Stupidity at it's highest level, hebu rudia kusoma uozo ulioandika na ujitathmini uwezo wako kiakili.
 
Ukiacha ziara za ratiba ya kampeni za 2020, ruti za Magufuli zIlikuwa ni zile zile kila Mwaka.

Anaanza DSM- Moro anaweza simama Kimara akatukana weee akaondoka

Then Moro- Dodoma, anajichekesha pale Msamvu halafu anasimama Dumila kula mahindi.

Baada ya siku mbili Dodoma anaanza kwenda Singida.

Then Singida -Kahama kupitia Nzega, anajichekesha na kuanza kuongea kisukuma mpaka kufika Chato

Baada ya hapo wakati wa kurudi anapita Geita ukweni na Sengerema halafu Mwanza kuangalia miradi yake.

Magufuli siyo kwamba alikuwa anatatua matatizo ya hao mnaoitwa wanyonge, bali kutokana na betri aliyokuwa amewekewa kufuani alikuwa mwoga wa kupanda ndege. Usafiri wake ukawa wa barabara, as such akaonekana anatembelea kutatua matatizo ya wananchi.

Endeleeni kuamini MAUJINGA yake, Ila werevu waliyazika Chato pamoja na mwili wake. Tuko na maisha mapya na Rais SSH
 
Ndugu umepaniki!
Unayefanya siasa za ushabiki na upambe ni wewe! Mama hana miezi miwili unataka azunguke, hajaapisha MaRC wala MaDC, unataka kumpelekesha, kisa una mkopo, unategemea per diem za safari. POLE! 😂
Wanufaika wa misafara ya Dar Geita!
Mama kishawapa mamlaka na madaraka wasaidizi wake, watatue matatizo ndiyo maana anawaamini hakuna shida zitamfikia yeye binafsi atatue.

Hukumu inakuja 2005...hukumu juu ya makosa gani?? Time travelers!
Wapiga kula ndiyo kina nani hao??

Everyday is Saturday..............................😎
 
Stupidity at it's highest level, hebu rudia kusoma uozo ulioandika na ujitathmini uwezo wako kiakili.
Stupidity stays in the brain of someone like you, to whom with his or her mind, think is smart! Due to low mind and capacity to grasp what is narrated!
Uvivu wa kufikiri na kusoma kwa undani umjengea mtu roho ya matusi kwani anakuwa anatafuta defence. Kabla hujatukana jitazame wewe kwanza, akili yako inakuruhusu kutukana? Ukiona inakuruhusu nawe ukatukana basi wewe na akili yako kunatatizo la ulewa.
 
Zama za giza,kiki na propaganda zimepita.

Rais ana deal na mambo makubwa ya Nchi.
Huko kwenu kuna kero gani inayomhitai Rais ambayo Watendaji wameshindwa kuitatua?

Yaani Rais aende kuzurura mitaani kuzungumzia stand na vyoo? Mko serious nyie?

Hivi unaelewa maana ya raisi? Unaelewa kazi za raisi? , mnaanza kujikosha mapema kwa kuwa mshajua kaanza kuaribu
 
Mambo gani makubwa unayodhani zaid ya kuwatumikia wananchi. Kuingia mikataba ya Gesi au? Rais ni Rais wa watu si Rais wakusafiri bila kuona tija ya safari zake. So unataka azurure mitaa ya Karen, Mombasa, Kasarani na si mitaa ya nchi yake! Ha ha ha!

Tanzania tumepata loss kubwa this time ila tunaelewa Coz kiongozi tuliyempata imekua tu bahati mbaya hakua chaguo letu, tuvumilien tu 2025 si mbali
 

Ipo siku utasoma tena uzi wako halafu utaanza kuona aibu wewe mwenyewe. Time will tell
 
Sio lazima maziala Mana pia alisema anafutilia mitandao yakijamii ambayo malanyingi huibua changamoto za jamii.ndio wakati wa wetu wana mitandao kubainisha kelo mbalimbali maana Raisi anafatilia mitandao.
 
Sio lazima maziala Mana pia alisema anafutilia mitandao yakijamii ambayo malanyingi huibua changamoto za jamii.ndio wakati wa wetu wana mitandao kubainisha kelo mbalimbali maana Raisi anafatilia mitandao.
Kwa style hiyo anaweza kuja kuiona Tz iliyotofauti na uhalisia.
 
Tanzania ya watu milioni 60 utakuwa na uwezo wa kusikiliza watu wangapi? Kumbuka hata Mzee Mwinyi alipomrithi Mwalimu Nyerere alitenga siku maalum nakumbuka kila ijumaa kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi mpaka Mwalimu Nyerere alimshauri kuwa hataweza atashindwa majukumu mengine na hata maandiko yanasema Musa alipata shida Sana kwa kutaka kufanya kazi zote peke yake mkwe Yethro akamshauri atafute watu wa kumsaidia.Kutoka 18:14-27
 
Tukubali tu awamu hii imekuja bahati mbaya, tujipange tena 2025 kumchagua raisi tunayemtaka. Magufuli ametufungulia njia we can now tell a good leader and the worse one, magu katuamsha usingizin
Acha ulimbukeni nchi gani duniani Raisi kukaa anazunguka hujui hata usalama wake unakua mdogo watanzania mbona tunakua wajinga hivi pia nani asiejua hata moja ya sababu ya kifo cha mzee wa Chato nikukaa anazunguuka bilakujali gonjwa linloisumbua dunia Kwa sasa.
 
Kama unaumia sana kawe wew Rais, unataka ajifungie kama Jiwe lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…