kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 214
- 147
Acha kumpangia majukumu wewe hata mwaka hujaisha umeshaanza umbea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasisitiza kuwa toka tupate uhuru, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi Magufuli, wote waliwasikiliza wananchi na kutatua kero zao. Kuna migogoro ambayo kiutatuzi lazima imfikie Rais au inahitaji utatuzi kutoka kwake. Ndo maana utaratibu toka zamani, kukiwa na jambo limeshindikana Mkuu wa Mkoa huto kibali cha mwenye malalamiko au mgogoro kumuona Rais, kama ametembelea mkoa huo au mlalamikaji kwenda Ikulu.
Nakumbuka kipindi cha mzee ruksa, kila mwezi alitenga siku ya kuwasikiliza wananchi Ikulu. tena alisisitiza anataka watu wa hali ya chini ambao wanamigogoro au malalamiko yaloshindikana. Na toka mikoani ilisisitizwa Ofisi au wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wenye malalamiko wanafika kuonana na Rais Ikulu.
Nyerere yeye walienda hadi nyumbani kwake, Msasani au Butiama kufikisha malalamiko na aliwasikiliza. Rais Kikwete alikuwa huru popote alipo kuwa anamsikiliza mtu yoyote hata iwe Msoga.
Mama yetu tafadhali, litazame hili kwa namna nyingine. Hawa ndo waliokuchagua. Ukisema unawawakilishi, basi waachie kila kitu kwani tunajua Rais unawawakilishi kila sekta na kila sehemu weye kaa tu Ikulu ule na kulala. Hadi Bungeni unawawakilishi basi usingeenda kuhutubia Bungeni kwani Waziri Mkuu yupo anae wakilisha serikali pia kuna mawaziri bila kumsahau Waziri anae tetea serikali Mama JenisterMhagama!
Masikini hudhani yeye tu ndiye ana changamoto. Alafu kuna majitu yanafurahi kuwa wanyongeTatizo tumekariri kwamba changamoto ni huku chini tu vijijini, Inamaana kwako wale wafanya biashara waliokwama mpakani na mahindi yao sio changamoto?,
Akisema warumi ataonekana ana mdomo... hata msiba haujaisha vizur huyo kashaanza kukimbilia nchi za watu Sijui anatafuta nini
Magu alikua ana mapungufu yake ila ulikua unaona kabisa he was dedicated in serving the people of Tanzania, alikua na uchungu na nchi yake, ila huyu mama yupo kimaslahi, yani tutalia na kusaga meno had miaka minne iishe
Awamu hii watu wamekazana kufuta neno mnyonge. Mnyonge toka zama za Nyerere ilijulikana ni mtu asiye na kipato cha kuweza kujikimu kwa mahitaji yake muhimu. Mfano chakula milo mitatu, Elimu, afya na malazi.Kwanini mtu mwenye akili timamu, sio mlemavu pia una afya tele ukubali kujiita mnyonge?
Hii habari ya kujiita mnyonge siipendi.
Na wawe mashetani kabisa mpaka wajinyongeWanyonge zamu yenu kuishi kishetani
Mwinyi hakuwasubiri tu Ikulu, aliwafuata pia ktk ziara zake. Hatuhitaji ushabiki usio na manufaa au kujikomba. Mama si malaika, dhamana kapewa na watanzania, tuna haki ya kumkosoa anapokosea, hata yeye karuhusu kukoselewa. Hizi siasa za upambe Tanzania ndo zimeharibu nchi hii.
Swala si awamu ya 6 hata ingekuwa ya kumi. Tunataka kuona kinachotendeka kinaifanya nchi yetu ipige hatua. Si porojo na maneno yenye sukari, wakati nchi inabaki pale pale. Tunataka kuona kazi inafanyika. Kero mbalimbali zinaisha. Miradi inasonga mbele.
Swala la kusema najuaje labda atawakaribisha Ikulu, yeye mwenyewe alitamka hataki kusikia kero za wananchi zinamfikia. Hukumu itakuja 2025 na msishangae upinzani ukachukua nchi kama kweli watapata mtu sahihi, kwa wakati sahihi.
Wapiga kula wengi wa nchi hii ni watu wa hali ya chini. Ili ufanikiwe teka mioyo yao.
Yule kambale alale anapostahili.Tukubali tu awamu hii imekuja bahati mbaya, tujipange tena 2025 kumchagua raisi tunayemtaka. Magufuli ametufungulia njia we can now tell a good leader and the worse one, magu katuamsha usingizin
Kwanj kuna mwananchi alimpigia kura mama?Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena[emoji113]
Weye ndo ufunge mdomo kwa sababu hata hujui katiba inaeleza nini. Ungejua usingenambia ni funge mdomo. Na ujue Katiba imeeleza wazi majukumu ya Rais.Hujui kazi za Rais wewe, ungefunga mdomo wako tu.
Hivi unaelewa maana ya raisi? Unaelewa kazi za raisi? , mnaanza kujikosha mapema kwa kuwa mshajua kaanza kuaribu
Watendaji wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa wote ni ccm nchi hii, hao wote hawawezi kupeleka kero za wananchi kwa rais mpaka rais aende? Halafu mnajisahau na kuleta propaganda mfu kuwa chini ya Magufuli ccm imeimarika sana. Sasa imeimarika nini kama hata kero za wananchi lazima rais azunguke kuzisikiliza mwenyewe? Au unataka yale maigizo ya Magufuli na huyu mama ayaige hivyo hivyo?Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Sijapinga wapinzani kuchukua nchi. Ndiyo maana nikasema wapinzani watachukua nchi. Naomba usome uelewe. Ningepinga ningesema wapinzani wasichukue nchi. Elewa andiko.Wapinzani wakichukua nchi kuna tatizo gani ?
Wapinzani sio watanzania wanaofanya kazi zao kihalali nchi hii???
Ila mama nae pamoja na majukumu yake ya kazi ila ana muda wa kufuatilia udaku wa mitandaoni kuliko hata ma jobless.
Tukubali tu awamu hii imekuja bahati mbaya, tujipange tena 2025 kumchagua raisi tunayemtaka. Magufuli ametufungulia njia we can now tell a good leader and the worse one, magu katuamsha usingizin
Unaweza usijiite ila uhalisia ukawa wewe ni mnyonge ni sawa mwanamke anayejiuza hata asipojiita malaya ila uhalisia itabaki kuwa ni malaya.Kwanini mtu mwenye akili timamu, sio mlemavu pia una afya tele ukubali kujiita mnyonge?
Hii habari ya kujiita mnyonge siipendi.