Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wewe kura yako haikumfanya ashinde.Hata ungelala nyumbani na mumewe bado angeshinda tu.Usijipe umuhimu sana kwamba wewe unaweza kumfanya mtu kuwa Rais au hata mwenyekiti wa kijiji.
mimi binafsi sielewi, kuna mambo yalikuwa yananifurahisha sana kwa mtangulizi yule hadi kufikia kupanga foleni na kumpigia kura yangu na wala sikujutia. Yale mambo yamekatika ghafla kiasi kwamba ukiniambia nipige kura leo naweza kugoma nikihisi napoteza muda. Yule jamaa alitugusa wengi sana katika staili yake ya kuongoza nchi. Kweli mwanaume ni KICHWA cha nchi