Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.

2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya CCM.

2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.

Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.

Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uzembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.

FB_IMG_17016987361850161.jpg
 
Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.

2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.

2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kwamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.

Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.

Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.

View attachment 2833117
Uzito wa hao jamaa sita haupungui nusu tani. Mimi ningekuwa mwenyenyumba ningedai fidia ya kwa kuharibu paa la hiyo nyumba
 
Kwani walioafariki wako juu ya paa? Au wanasubiri Hadi hiyo miili iharibike kwenye tope?
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
 
Nilipoiona kwa mara ya kwanza hii picha machozi yalinitoka.

Yangekuwa maandamano mngeona rungu za ugoko wanavyozipiga
Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.

2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.

2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.

Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.

Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uzembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.

View attachment 2833117
 
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
Kwa sababu wewe ni hai leo ndo unapata kiburi cha uzima kusema hayo
 
Nchi yoyote ambayo haina utayari wa matukio ya kushtukiza (Unforseen events), basi tambua kuwa kuna shida kubwa sana kwenye hiyo nchi.

Yangu ni hayo Tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Huko America wanapataga majanga na sometime huwalazimu kukaa kimya ndiyo itakuwa Tanzania yenu changa!
 
Back
Top Bottom