YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hoja chini ya kiwango sanaSawa,
Wananchi tutachagua chama kitakachokuja na sera ya kuhakikisha chakula mashuleni kinarudishwa, walimu wanalipwa overtime, laptop wa watoto shule za msingi zinatumika, shule za kata zinaunganishwa Kwa Nishati ya dollar au umeme Nchi nzima.
Wao CCM wapuuze tu, vyama viko vingi😀
Una akili ndogo mno hoja ukitoa unatakiwa kuangalia sector yote kwa ujumla ..
Shule za msingi kuna za Serikali na Private
Shule za private za msingi hawana laptop na huongoza mitihani kitaifa Hakuba mwanafunzi mwenye laptop na huwa hazitoi uji wala chakula sana sana utalipia usafiri tu sababu nyingi ni za day pili haziruhusu kabisa overtime kwa walimu wake Kuwa kila mwalimu ahakikishe mshahara analipwa afundishel vizuri ndani ya huo muda no overtime
Tatu hawatati watoto wanaosoma shule zao za private waende tuition yeyote mtaani wanajiamini kuwa wakuchofundisha ndani ya muda wa vipindi inatosha wasije kwenda tuition kuchanganywa bure
Ndio maana sio rahisi kukuta mtoto anasoma shule ya msingi ya private zilizo nyingi akienda tuition au akihitaji Mwakimu amfundishe muda wa ziada na hali shule na hana laptop lakini kitaifa anapata ufaulu mkubwa kitaifa wakati na yeye anasoma day kama yule wa serikalini
Hoja yako dhaifu mno