Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Naona unaongea tu bila kufikiri sawasawa. Kwani tatizo letu kubwa hulijui? Hizo laptop atazinunua nani? Zitatunzwa na nani? Kuna mtu anayejali kuhusu mali ya umma nchi hii? 👇👇👇Kwann tuzidiwe na Rwanda, Taifa dogo na ni waafrika wenzetu?
Rwanda hata bandari, ziwa au migodi ya Dhahabu hawana.
Tukienda hivi, watatutawala one day.
Anza na kubadili mfumo wa fikra za watu kwanza. Wanajua wanachokitaka? Falsafa yao jumuishi kama taifa ni ipi? Wanataka nini? Viongozi wetu wana maono?
Fikiri sawasawa na usijikite katika matokeo na/au dalili za ugonjwa. Tafuta chanzo cha ugonjwa ili upate tiba sahihi. Vinginevyo ni kazi bure...